Nanyaro,
wala mie sijakushutumu jinsi ulivyoripoti ki ukweli umeweka ushabiki wa kisiasa mbele.
Umechukuwa maneno yaliokufurahisha na kuyaweka jamvini, mtu ambae akuwepo lazima ataona hiyo kesi ni kituko mkuu najua unaipenda sana Chadema. Weka ulingo wa habari sawa.
Ungeweka basi hata maelezo kidogo ya Wakili Alute Mugwai, na Modest Akida.
Shahidi ukishindwa kuthibitisha katika kesi, ina maana hiyo kesi ni batili. Kwamtazamo wangu ingawa sikuwa ARUSHA kipindi cha kampeni lakini naona kuwa ni kesi ya kutengenezwa, sasa watengenezaji wamewachukua MBULULA kufungua kesi na hawakuwajaza maneno ya kuongea.
Wanafikiri ubishi wa kwenye vijiwe vya kunywa kahawa na kucheza draft ni sawa na mahakamani!!!!
Pale ni mambo ya sheria na kutoa jibu lenye usahihi. siyo kupeleka ubishi wa kwenye vijiwe. Au huyu bwana alikuwa anataka kupanda chat kwa kuandikwa katika magazeti?????????????
Ndio hawa mambumbumbu wanaongangania CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM) kwa zawadi ya tshirt na khanga.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
Wakati mwingine uwe unongea vitu vya maana, kila ukiandika humu unakuwa kama unamatatizo ya akili hivi. Sasa ni lini Mh. Lema alipigwa chini? unawezaje kutoa hukumu wakati ni shahidi mmoja tu ametoa ushahidi ambao haujakamilika? Acha wazimu na chuki zako binafsi wewe.Heshima kwanu wanajamvi,
Nilisema mara baada ya matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa kwamba ushindi wa Mheshimiwa Lema ukitinga mahakamani lazima atapigwa chini kwasababu yapo matamko mengi ambayo hakupaswa kutamka hadharani.Huo ndiyo ukweli wa mambo lipo suala la Redio Safina likifikishwa mbele ya Jaji hakika lazima maandalizi ya uchaguzi mwingine yafanyike.
Mheshimiwa Lema bado ana nafasi ya kushinda tena uchaguzi mwingines si kwasababu kafanya mambo mazuri lahasha atashinda kwakuwa bado siasa za kishabiki zitachukua nafasi yake.
Wewe na Ngongo wako mna matatizo ya akili. Mtaishia kutabili kama waganga lakini hamta fanikiwaMkuu Ngongo.
kwenye kesi hiyo Lema akifanya mchezo itamtupa kwenye ulingo wa siasa..
Mkanga, aliezea mahakama mbele ya Jaji Gabriel Rwakibarila kuwa Lema, alitumia mikutano aliyofanya katika kata za Sombetini, Terat na Elerai, akiwataka wananchi wasimchague Dk Burian kwa madai ni mwanamke aliyeolewa Zanzibar na kwamba angerejeshwa visiwani humu mara baada ya uchaguzi ili kuhudumia familia yake.
kesi ngumu sana hii kwa Lema.
Heshima kwanu wanajamvi,
Nilisema mara baada ya matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa kwamba ushindi wa Mheshimiwa Lema ukitinga mahakamani lazima atapigwa chini kwasababu yapo kmatamko mengi ambayo hakupaswautamka hadharani.Huo ndiyo ukweli wa mambo lipo suala la Redio Safina likifikishwa mbele ya Jaji hakika lazima maandalizi ya uchaguzi mwingine yafanyike.
Mheshimiwa Lema bado ana nafasi ya kushinda tena uchaguzi mwingines si kwasababu kafanya mambo mazuri lahasha atashinda kwakuwa bado siasa za kishabiki zitachukua nafasi yake.
Hii ni chakula ya baba mwanaasha!
Mhn!mkulu huwa anapenda kwenda kupumzika huko, labda ndo sababu anatakiwa awepo huko?Hii ni chakula ya baba mwanaasha!
Mkuu, naona unatoa hukumu kupitia JF.