Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini inaendelea

Kesi ya kupinga matokeo Arusha mjini inaendelea

Huu ushahidi unaonesha kama ni wa kutengenezwa na walioutengeneza nina wasiwasi hawatafaulu, kwani wahusika ladri wanavyopigwa maswali mfululizo wanajichanganya sana. Tuendelee kufuatilia.
 
Sivyo Mungi, nafuatilia kwa karibu sana kuliko unavyodhani. Naona we ndio uko mbali isije kuwa buriani kwako.

kama upo karibu poa, pamoja sana. Nilikuwa namaanisha Buriani Batilda
 
Subpoena Batlida aileze mahakama amekerekajw?
Otherwise hii ni kuchezea kodi kwa tamithlia isiyo na msingi ambayo matokeo yake huenda yakawa mabaya sana
 
Dah!! kwa majibu hayo ya shahidi ni dhahiri hii ni kesi ya kutunga haina ukweli wowote, na sasa magamba wataangukia pua!!!
 
Back
Top Bottom