Mtunze huyo binti, akijaliwa kujifungua salama na mtoto wake akikua au wakati anaendelea kunyonyesha anaweza kuendelea na masomo kama private candidate, achana na kesi ambazo zitakugarimu muda na fedha na hauwezi kubadilisha yaliyotokea, onyesha upendo kwa huyo binti, amepata mimba kwa bahati mbaya au kutokana na kukosa elimu ya uzazi, yeye kuwa na mahusiano ni haki yake na ni mahitaji muhimu ya akili na mwili, ni bahati mbaya aliyempata hafai/amemwacha solemba, kitu ambacho kinamtesa kisaikolojia pia.
Huo ndio ushauri wetu kwako.Mtunze huyo binti, akijaliwa kujifungua salama na mtoto wake akikua au wakati anaendelea kunyonyesha anaweza kuendelea na masomo kama private candidate, achana na kesi ambazo zitakugarimu muda na fedha na hauwezi kubadilisha yaliyotokea, onyesha upendo kwa huyo binti, amepata mimba kwa bahati mbaya au kutokana na kukosa elimu ya uzazi, yeye kuwa na mahusiano ni haki yake na ni mahitaji muhimu ya akili na mwili, ni bahati mbaya aliyempata hafai/amemwacha solemba, kitu ambacho kinamtesa kisaikolojia pia.
Wadau mimi naishi na mtoto wa dada yangu, kwasababu dada yangu hana uwezo nilichukua jukumu la kumsomesha huyu mtoto, kwasasa yupo form four, jana kafukuzwa shule baada ya kugundulika ni mjamzito wa miezi mitano. Kwasababu sifahamu vema sheria zinazosimamia hili swala naomba kufahamu yafuatayo:-
1. Je ni sahihi huyu mtoto kufukuzwa shule hasa ukichukulia nimelipa ada mpaka siku atakapomaliza masomo yake?
2. Kijana aliyempatia uja uzito anakili kufanya hivyo ila anajibu jeuri sana kwamba nisimfuatefuate. Je ni hatua gani za kisheria naweza kumchukulia huyu kijana hasa ukichukulia huyu bint yetu ana umri wa zaidi ya miaka kumi na nane yaani ana miaka18 na miezi7 hivyo alikutana naye kimwili akiwa ana umri zaidi ya miaka18.
Mtunze huyo binti, akijaliwa kujifungua salama na mtoto wake akikua au wakati anaendelea kunyonyesha anaweza kuendelea na masomo kama private candidate, achana na kesi ambazo zitakugarimu muda na fedha na hauwezi kubadilisha yaliyotokea, onyesha upendo kwa huyo binti, amepata mimba kwa bahati mbaya au kutokana na kukosa elimu ya uzazi, yeye kuwa na mahusiano ni haki yake na ni mahitaji muhimu ya akili na mwili, ni bahati mbaya aliyempata hafai/amemwacha solemba, kitu ambacho kinamtesa kisaikolojia pia.
Ningeshauri ajisajili kama "Private Candidate" kama muda haujapita, lakini kama muda umeshapita afanye mtihani mwakani kama private candidate. Kwa sasa sheria iliyopo hairuhusu mwanafunzi (Primary and secondary school) akiwa mjamzito awepo shuleni. Hiyo haijalishi hata kama umemaliza ada yote. Binti alishafanya makosa hayo tayari, kingine cha kufanya waweza kwenda ktk vyombo vya sheria ingawa binafsi naona ni kupotezeana muda tu, kosa lilishafanyika hao. Huyo kijana wahusishwe wazazi wake kuhusu kumtunza huyo binti (akiwa kwako) kisha mtoto akishazaliwa. Vijana wakikubaliana kuoana hilo litakuwa lao sasa kwa baadae.
Nadhani uko sahihi, nilitaka kumaanisha hivyo.Why kama private candidate wakati hajafanya bado final exam? Unless you mean apospone till next year then afanye as a normal school candidate in a private school. Private candidates ni wale ambao wanarudia mtihani( I'm ready to be corrected)
Nadhani uko sahihi, nilitaka kumaanisha hivyo.