Kesi ya kina Mbowe: Wakili John Mallya naye alimbananisha SSP Ngichi

MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Sikumbuki idadi yake

MALYA: RCO unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

Ni sawa na kumtaka mwanafunzi (STD VII, F4, F6, UE nk.k) ajue wanafunzi wanaofanya mtihani ni wangapi.

"These qn even if are not answered, they do not go to the root of the case"
Malya mshkaji wangu alikua mtata sana enzi hizo tunasoma chuo Tumaini kurasini ha ha ha ha ha ha na ka mwili kake hanenepi kama albert Msando
 
Hawajaelimika, wamehitimu tu masomo. Ndiyo Maana wanatumika kwa maswalahi ya Wanasiasa.
Wangekuwa wameelimika, wangejia kuwa Wanasiasa ni waajiriwa wa wananchi, hivyo walitakiwa kumuheshimu mwananchi ambaye ndiye mwajiri mkuu
Hapana wameelimika ispokuwa kutetea uongo na kudanya kazi za kinyume na sheria kama walivyofanya kw kutumwa na ccm ndio wanaonekan ni weupe lakini sio.
 
MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Sikumbuki idadi yake

MALYA: RCO unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

Ni sawa na kumtaka mwanafunzi (STD VII, F4, F6, UE nk.k) ajue wanafunzi wanaofanya mtihani ni wangapi.

"These qn even if are not answered, they do not go to the root of the case"
SSP NGICHI alisimamia uchaguzi ? Kwani wanafunzi wanasimamia mtihani mfano wa kijinga
 
_
MALYA: Ulipojiunga na Jeshi la polisi ulikuwa na miaka mingapi?

SSP Ngichi: 28

MALYA: Kwa mujibu wa PGO ni sahihi kwamba mtu akiwa na miaka 28 haruhusiwi kujiunga na jeshi la Polisi?

SSP Ngichi: Inategemea na elimu yake

MALYA: Kesi unayoitolea ushahidi inahusiana na maswala ya uchaguzi, nyie kama wadau mlipewa elimu ya usimamizi wa uchaguzi?

SSP Ngichi: Natolea ushahidi kesi ya maandamano sio mambo ya uchaguzi

MALYA: Lakini hayo maandamano si yanatokana na uchaguzi?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Ulipewa ratiba ya mikutano ya vyama vya siasa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Nani alikupatia?

SSP Ngichi: RPC Kinondoni

MALYA: Yeye alipewa na nani?

SSP Ngichi: Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni

MALYA: Kifungu cha 51 (5) cha sheria ya Uchaguzi kinamtaka Mkuu wa Wilaya ndiye awape polisi nakala ya Ratiba za kampeni. Kwa kifungu hiki, huoni kwamba mmevunja sheria?

SSP Ngichi: Kimya

MALYA: Vituo vya kupiga kura vilikuwa vingapi?

SSP Ngichi: Sikumbuki idadi yake

MALYA: RCO unasimamiaje uchaguzi ambao hujui hata idadi ya vituo?

SSP Ngichi: Vilikua zaidi ya hamsini

MALYA: Unafahamu mawakala lazima wale kiapo?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Unafahamu kila mgombea anaweka utaratibu na Mkurugenzi wa namna mawakala wake kuapa?

SSP Ngichi: Ndio

MALYA: Kwahiyo mlifanya makosa kuvuruga mawakala wa Chadema kwenda kuapa?

SSP Ngichi: Walifanya maandamano

MALYA: Ulijuaje ni maandamano?

SSP Ngichi: Walivuka barabara

MALYA: kama walivuka barabara ulijuaje kama walikuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Hazifanyiki barabarani

MALYA: Zinafanyika wapi?

SSP Ngichi: Nyumbani

MALYA: Ili ufike nyumbani unapita wapi?

SSP Ngichi: Barabarani

MALYA: Kwahiyo unakubali walikua wanavuka barabara ili wakafanye kampeni za nyumba kwa nyumba?

SSP Ngichi: Waliandamana

MALYA: Kwanini?

SSP Ngichi: Kwa sababu walikua na viongozi wao

MALYA: Wataje

SSP Ngichi: Heche, Matiko, Msigwa na wengine

MALYA: Unajua sifa za mtu kuwa wakala?

SSP Ngichi: Hapana

MALYA: Unajua kuwa Heche, Matiko na Msigwa walikua mawakala?

SSP Ngichi: Sifahamu

MALYA: Je unakubali kwamba viongozi hao walikua wanaongozana na mawakala wenzao kwenda kwa Mkurugenzi kula kiapo?

SSP Ngichi: Kimya

Kwani Mkuu wa wilaya hawezi kumpa maelekezo mkurugezi kutekeleza baadhi ya majukumu ya kikazi kwa kumuwakilisha?
 
Do maana police wanakua na panic na Chadema , yani Mawakili wetu ,chadema yenyewe inawatesa sana
 
Back
Top Bottom