Kesi ya Katiba yafunguliwa kupinga Dowas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Katiba yafunguliwa kupinga Dowas

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Feb 22, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kesi ya kikatiba imeshafunguliwa kupinga Dowans katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, mwenye taarifa zaidi atujuze
   
 2. M

  Maganiko Senior Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dowans! Kila Mtawala katika historia ameangushwa na tukio moja au series ya matukio madogo (Ben Ali, Mubarak, Marcos, Napoleon, Mobutu, Bokassa, etc). Historia itatuambia kuhusu JK na Dowans hii.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sisi hatukutaka toka mwanzo kuwazuia hawa watu; hatutaki hata hivi sasa kuwazuia, tuwaache tu watugandamize hadi tutakaposema "tunaumia"
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hebu eleza vizuri mkuu unamaanisha nini kesi ya katiba dhidi ya dowans
   
Loading...