Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Huyu Millya hakuhusika kuleta fitna kwenye hii kesi? nauliza tu nataka nipate jibu...kama hujui usiharibu hali ya hewa
Hakuwahi kuhudhuria mahakamani kwa ajili ya kesi ya lema. hata hivyo kutokuhudhuria kesi haimhalalishii kuwa msafi.
Kuna mambo mengi atatakiwa kuyafanya ili aonekane mbele ya jamii kuwa alikuwa ccm kwa bahati mbaya as far as it is known of what was his intention!