Kesi ya jaji Rugazia

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
391
Reaction score
175
JF mwenye kufahamu kesi ya jaji Rugazia imefikia wapi anijuze
 
Sidhani kama ana kesi. alishitakiwa mahakama gani? aligonga watu wakafa ndio, lakini hakuna kesi iliyo fikishwa mahakamani.

Macinkus
 
sidhani kama ana kesi. alishitakiwa mahakama gani? aligonga watu wakafa ndio, lakini hakuna kesi iliyo fikishwa mahakamani.

macinkus

So he is above the law. hivi kuna kipengele kwenye katiba kinachomlinda jaji asishtakiwe anapokuwa katenda kosa wakati akiwa kazini?
 
Naomba kuhusu hili hojini ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na DPP. wao ndo wanatakiwa kumfungulia kesi sasa kama hawajafungua nani wa kulaumiwa hapa?
 
Majaji wana kinga ya kushitakiwa......hata kukamatwa ni tatizoo wana kinga kubwa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…