yaani kila kitu wanajifanyia tu kisha wanampa bendera yetu nzuri kwa ujinga wao.....Bado najiuliza waziri anayehusika na haya mashindano ni nani? na yeye ni boya kama lundenga ama?
>kwa sababu kama hii ishu iko ndani ya wizara yake halafu anashindwa kusema hata 'a', basi ni boya tu!
yaani kila kitu wanajifanyia tu kisha wanampa bendera yetu nzuri kwa ujinga wao.....
Na wizara inayohusika nimesikia na wao wanakutana leo kuona nini kifanyike, tatizo hii issue wameichukulia simple pamoja na huyo Lundenga kuingia mkenge maana yeye kama kweli hahusiki angekaa pembeni na kukomaa kwamba wao waliletewa cheti kinachoonyesha ana umri wa miaka 21 mambo mengine aulizwe mrembo mwenyewe. Btw umri wa kwenye passport ndio unaochukuliwa kama umri sahihi especially kwenye mambo ambayo mtu amechakachua umri ili akidhi vigezo na passport ndio document inayochukulia kama reference kwenye mambo yote yanayohusu umriRita wameamua kuingilia kati hili suala la huyu binti/bibi
hatimaye uchunguzi waanza juu ya watoto waliozaliwa katika hospitali ya temeke kuanzia mwaka 1980 mpaka 1990!
Kama kweli rita nayo ni msema kweli... Tutegemee mema kutoka kwenye huu uchunguzi..
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.

hivi msalani su ndio chooni au
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.
Nchi ya ajabu sana hii. Mzee Slaa mwenye miaka 80 bado anaishi na mchumba ambaye ni mke wa mwenyewe.
Mkuu huko kwenu CHADEMA wanaume wanaolewa? Unaonaje BABU akikuoa wewe ili muweze kukomboa nchi kiurahisi zaidi?huyo mwenye mke jongoo wake hapandi mtungi kama wewe sasa mke wa nini? kwanini usiwaachie wenye uwezo wa kutafuna au unataka na wewe uolewe na babu slaa?