Kesi ya huyu mrembo imefikia wapi?

Na mimi mwakani nagombea jamani wakuu support yenu tafadhali
 
No pothibility avae can't b 18 years atleast angesema 27 aisee jamani one aibu

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Aibu hii ni ya Taifa zima mkuu wala siyo lundenga ama mtemvu!

Na ikifika miss world tu, tuna disqualify kushiriki mara moja! halitokuwa na mjadala hilo hata kidogo!
Bora ifike huko Miss World wadisqualify. Haya mashindano yenyewe hayana faida yeyote!
 

Afu cheki ngozi za mikono karibu na kwapa zilivyomshuka ka' bibi kizee
 
Kumbe ndio huyu miss Tanzania!!! nasikia tu watu wakilalamika,lakini mikono yake inaonyesha sio msichana tayari ameshakuwa bi mkubwa
Bibi keshabebwa bhana!

Lundenga aliongea mambo mepesi sana kumlinda huyu bb bomba!

Mama yake alipaniki vibaya sana mbele ya media na kudai kuwa kwanini asiulizwe kwanza hii arguement?

Only in Tanzania!
 
Bibi keshabebwa bhana!

Lundenga aliongea mambo mepesi sana kumlinda huyu bb bomba!

Mama yake alipaniki vibaya sana mbele ya media na kudai kuwa kwanini asiulizwe kwanza hii arguement?

Only in Tanzania!
huyo mama si ndiyo angetoa ushahidi sasa kwamba bintiye yuko under 25?
 
only in Tanzania...............
 
Huyu sio binti ni mama...

Mkizidi kuwahoji wanaweza kujitetea mbona hata kwenye mpira wa miguu kuna jamaa alikuwa under 18 lakini alikuwa anaonekana kama 42 years. Ila kwa majibu mepesi aliyotoa ndio anakaribisha watu kumfuatilia maana siku anakwenda nje na passport yake wanamsubiri akijaza zile form (exit form) maana lazima ajaze umri sawa na kwenye passport (watu wata-scan ile form na kuirusha mtandaon)
 
Bibi keshabebwa bhana!

Lundenga aliongea mambo mepesi sana kumlinda huyu bb bomba!

Mama yake alipaniki vibaya sana mbele ya media na kudai kuwa kwanini asiulizwe kwanza hii arguement?

Only in Tanzania!

Kizazi cha Nyerere kikipita nafikiri haya mauzauza yatapungua kidogo
 
huyo mama si ndiyo angetoa ushahidi sasa kwamba bintiye yuko under 25?
Mama yake hana wisdom mbele ya umma hata kidogo!

Kaishia kulia kulia tu mbele ya waandishi na kuwalaumu kuwa wametoa irrelevant info juu ya bibi bomba!

Aliondoka bila kutoa hoja zaidi ya vioja tu!

Huyu binti sidhani kama huu umiss utampa mibaraka yoyote kama wenzake walivyofaidika nao!

By the way! Hii nchi ishapoteana!
 
Wanasema this is the minor and petty issue eti!Eti tumekalia umbea na wivu!!Ni upepo utapita...wakubwa washamaliza mtoto wao hawezi aibika
hayo maneno nadhani yamesemwa na mwaname mwenzake, miss Tanzania 2012/13!

very stupid indeed!

Kama suala hili tumeshindwa kulivalia njuga mpaka limechafua taifa hivi mbele ya ulimwengu, unadhani mengine yatawezekana??

Habari hii ishatangazwa sasa na vyombo vya habari vya kimataifa! BBC na magazeti ya kenya wameshalizungumzia!

Hii itatudhihirishia wazi kuwa watanzania si viumbe wa kuamini hata kidogo!

Kama leo umedanganya umri kisa tu uwe mlimbwende, je kesho na kesho kutwa unadhani ntakupa deal biashara ya thamani kubwa kwa imani kweli??

Waziri wa tamaduni na michezo, madam fenalla naye ameshapata, makalio yameshalia mbwata! Hana muda kabisaa wa kuzungumzia hili suala ambalo limeigusa sekta yake...

Shame on her...!!
 
Huyu binti ana sura kavu kweli kweli.
 
Rita wameamua kuingilia kati hili suala la huyu binti/bibi

hatimaye uchunguzi waanza juu ya watoto waliozaliwa katika hospitali ya temeke kuanzia mwaka 1980 mpaka 1990!

Kama kweli rita nayo ni msema kweli... Tutegemee mema kutoka kwenye huu uchunguzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…