Kesi ya Godbless Lema kuendelea kesho Arusha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kesho Jumanne tarehe 04/07/2017 majira ya saa 3:00 asubuhi; Mh GODBLESS J LEMA (MB) Arusha Mjini atakuwa Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Arusha kusikiliza rufaa ya pingamizi la awali (PO) lililowekwa na Mawakili wake katika Kesi ya Jinai Na 351 2016/Criminal Appeal No.351: JAMHURI DHIDI YA GODBLESS J LEMA. (Ile kesi ya kumtumia RC Gambo ujumbe mfupi wa sms kwamba tutakudhibiti kama Mashoga wanavyodhibitiwa Dubai)

Tunaomba tujitokeze kwa wingi Mahakamani kumpa support Mbunge wetu.


Imetolewa na;

OFISI YA MBUNGE,
JIMBO LA ARUSHA MJINI,
S.L.P 16531,
ARUSHA-TANZANIA.
 
Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

Usimdanganye Lema hiyo ni kesi yake, wingi wa watu hausaidii Hakimu au Jaji kupindisha sheria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom