Kesi ya Dowans imefikia wapi?

Kesi ya Dowans imefikia wapi?

surubu kwetu

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
59
Reaction score
12
Ndugu zangu naomba kujuzwa kesi ya dowans kwa yoyote anayeijua imefikia wapi au tumekwisha walipa maana swala la dowans limekuwa kimya uwenda wamekwisha wapa rushwa wabunge ili walizime tujuzane ndugu kwa mwenye taarifa
 
Back
Top Bottom