Hiyo standard ya beyond a reasonable doubt nayo ni subjective vile vile. O.J. Simpson watu wengi waliona kuwa ana hatia. Ushahidi wa kisayansi pia ulionyesha hatia yake. Hata physical evidence pia zilionyesha ana hatia. Lakini jurors wakamuona hana hatia.
The bottom line is law is maddeningly subjective because so much is usually left up to individual interpretation and that's why sometimes you have wrongful convictions and wrongful acquittals.
mkuu watu kama nyie huwa mna visa vingi na vya kutosha nakushauri uviwasilishe kwa wanaohusika kama mtambuzi wavirushe hewaniThanx brother Mtambuzi. Nimekuja tena kwa mara nyingine mimi ex detective - the listener. Wakati naanza kusoma kisa hiki katika hatua za mwanzo mwanzo akilini ikawa inanijia picha ya kuwa huyu mama atashinda kesi kwani yaonekana kweli alipata rukwa na akili - temporary insanity'. Kama zisingekuwepo barua alizoandika na kuonyesha dhamira yake ya kufanya mauaji ya watotot wake, kuna kila dalili kuwa angeweza kuwa huru. Barua hizi zinaonyesha wazi kuwa alikuwa anajua fika ni nini alikuwa anakifanya wakati anawapa sumu wanae na suala hili hasa ndo lililopelekea kumtia hatiani
Thanx again brother kwa visa hivi kwani naona narefresh kwa kazi nilizofanya miaka ya nyuma. I hope next friday utakuja na kitu kingine motomoto
Wanasheria bana,hamkosagi maneno.Haya bana.
You are right, subjective interpretation is a problem. Just like many of Tanzanian judges do, especially where there are some interest involved. Likewise appealling system is there to make sure there is checks and balance, very unfortunately it doesnt work with our political courts here in Tanzania
Hebu tumsubiri mtaalamu wetu Ronn M atujibu........
Ni kweli ndivyo ilivyo!NASIKIA NDIO HUYU HUYU TAJI LIUNDI MTANGAZAJI NA BABA YAKE NDIO YULE ALIKUWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA... kama nimekosea mnaojua mnisahihishe
Hebu tumsubiri mtaalamu wetu Ronn M atujibu........
Ronn M ........Lakini pia Agnes Doris Liundi alikata rufaa na hakushinda na Mheshimiwa Jaji akakubaliana na hukumuya Mahakama Kuu..............
Hapa naomba kuelimishwa, katika kesi ya Asha Mkwizu Mheshimiwa Jaji Bahati, alinukuu maelezo ya Mheshimiwa Jaji Makame aliyehukumu kesi hii ya Agnes Doris Liundi ambapo alirejea kesi moja iliyowahi kutokea nchini Uingereza, lengo lilikuwa ni kuelezea dhana ya "diminishing responsibility"
Naomba ninukuu kipengele hicho hapa chini..............
"Hata hivyo Mheshimiwa Jaji Bahati alieleza kwa kirefu juu ya dhana ya "diminishing responsibility." Akizungumzia dhana hiyo alitolea mfano kesi ya mwaka 1978 ya Jamhuri dhidi ya Agnes Doris Liundi. Mheshimiwa Jaji Makame, J. Alirejea kesi ya Uingereza ya R.v. Julia Everton ambapo sheria hiyo kwa kule Uingereza inayo nafasi, ambapo mtuhumiwa huyo aliwekwa chini ya uangalizi kwa muda wa miaka mitatu. (Probation)Jaji aliendelea kusema kwamba, kwa Tanzania hatuna sheria hiyo, na itakuwa ni kinyume na taaluma yake kwenda nje ya mipaka yake."
Mwisho wakunukuu...............
Hapo kwenye BOLD ndipo ninapotaka kupazungumzia.............Je kulikuwa na haja gani kwa Mheshimiwa Jaji Makame J, kurejea kesi ya Uingereza wakati hata hivyo hakuwa na uwezo wa kuhukumu wa kufuata hukumu ya kesi hiyo..............?
Baada ya kesi hiyo, Je, Bunge letu tukufu liliwahi kukaa na kurejea sheria hiyo ili iende na wakati kama ilivyoshauriwa na wataalamu wa tiba pamoja na Mheshimiwa Jaji......?
The Listener ...............Mkuu nautambua uwepo wako katika thread hii, leo mimi nimeamua nisiwe mchangiaji sana niwaachie wasomaji.......................
Ndio maana Tanzania inabaki ilipo, kweli habari ya kurasa chache hivi umeshindwa kuisoma yote, ukija kuwa kiongozi ukapewa mkataba mfano wa Richmond for review si utasoma tu ile karatasi ya mwisho tu yenye kuonesha mahali pa kusaini?. Nchi isiyo na wasomaji ni nchi liyojifia.
huyo dokta hauli /specialist ea psychos si ndio ambae baadae mkewe alimpiga hawara wa mumewe vinondo akamzika nyumbani....rejea kisa chako kimoja ch mauaji ya mke wa dk hauli....MTAMBUZI
Nyani Ngabu Ukweli ni kwamba sikupata nakala ya kesi ya Mahakama Kuu bali nilipata nakala ya kesi ya rufaa na ndio sababu imekuwa kama haijajitosheleza, hakuna maelezo ya mashahidi na pia ushauri wa wazee wa baraza kama ilivyokuwa kesi ya Asha Mkwizu Hauli...........Kwa bahati mbaya juhudi zangu za kupata Kesi ya mahakama kuu hazikuzaa matunda. naomba radhi kwa hilo.Kama wewe hujui basi sidhani kama yeye atajua maana katika utafiti wako ulioufanya walau jury na jurors wangetajwa tu.
nyumba kubwa Ni kweli wengi walikuwa wanajua hivyo na hata baadhi ya wasomaji kwenye kesi ya Asha Mkwizu niliyoiweka humu majuma kadhaa yaliyopita wali- comment hivyo........... Nilipoisoma kesi hii ndipo nilipoujua ukweli na kutokana na maombi ya wasomaji wengi wa JF nikaona ni vyema niiandike ili ku- clear hiyo assumptionUmeona eeh. Hii case mi nilikuwa naijua mama alishawahi kutusimulia (alikuwa inspector those daysl); ila nimesoma yoote a mpaka z maana ya kusimuliwa ni ya kusimuliwa; material fact mengi yanaachwa kwenye simulizi. Mfano mi nlichokuwa najua aliamua kujiua na wanawe kwa sababu baba alikuwa hajatulia kumbe sivyo.