Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,717
- 13,467
Kesi namba 456 inayomkabili mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Melo na Mwanahisa Micke William iliyo chini ya hakimu Simba imeahirishwa tena hadi tarehe 3 Aprili 2017 baaada ya wakili wa serikali kutokuwepo mahakamani kwa madai kuwa anaumwa.
Hakimu Simba anayesikiliza kesi hiyo ameikaripia Jamhuri kwa kitendo hicho na ameahidi wakirudia hivyo tena ataifuta kesi hiyo.
Watuhumiwa waliwakilishwa na mawakili sita wakiongozwa na Wakili msomi Jeremiah Mtobesya na Tundu Lissu.
Hakimu Simba aliiahirisha kesi hiyo hadi Aprili 3, siku ambayo washtakiwa hao watasomewa maelezo ya awali katika kesi hiyo ambayo washtakiwa wanadaiwa kuzuia uchunguzi wa Jeshi la Polisi