Mwanzo mzuri bt naingiwa na hofu kidogo kuhusu hiyo kesi, iv haki itapatikana kweli kwenye hizi mahakama zetu? labda ipelekwe ICC. Manake hiyo sheria inakiuka haki za binadamu.
Kwa majaji hawa wateuliwa wa magambo kweli haki itatendika bora waipeleke East Africa Court labda haki itapatikana
Mkuu ikishindikana, ndo kusema mahkama ya wananchi iingilie kati au?Ndugu ICC zinakwenda kesi za jinai za makosa ya uhalifu wa kimataifa yani international crimes..
So kisheria tunasema ICC haina jurisdiction (mamlaka/uwezo kisheria) kupokea kesi kama hii..
Kwa mujibu wa ibara ya 30(3) ya katiba na kwa mujibu wa basic rights and duties enforcement Act, mahakama kuu ndio sehemu muafaka ya kuanzia.
Kesi ya katiba inasikilizwa na wateule wa jk haki itatendeka kweli?
labda waje majaji wa kuazimwa kutoka nje!
Kwa Tanzania yetu hii au, labda majaji watoke nchi nyingine!!Inategemea tuu jaji anafkiria nini na ni mtu wa aina gani..nafahamu kuna majaji with strong spirit na independent,bold hawawi sidelined na chochote bali their genuine intepretation of the law and facts
From there?Ikishindikana hapo tunaenda court of appeal of Tanzania
Mkuu kuna kesi nyingi maamuzi ya mahakama yamekuwa dhidi ya serikali so tusiwe prejudiced mapema ivo,vuta subira na usikate tamaa!
wakuu siamini kama kweli tutakuwa na katiba mpya kabla ya 2015'hiyo kesi ni ushindi mkubwa kwa ccm itaenda na itapitiliza 2015'sio idea nzuri hata kidogo kufungua kesi'tulitakiwa tulazimishe serikali kufanya tunayotaka'na kwa taarifa tu hayo ndo matokeo ya upole wetu na ujinga wetu
Kuliko kuwa na katiba mpya mbovu bora iwepo, Sasa ni kuhakikisha mgombea binafsi anakuwepo na 2015 kura zinalindwa usiku na mchana kwa nguvu zote ili kuhakikisha mshindi halali anapatikanawakuu siamini kama kweli tutakuwa na katiba mpya kabla ya 2015'hiyo kesi ni ushindi mkubwa kwa ccm itaenda na itapitiliza 2015'sio idea nzuri hata kidogo kufungua kesi'tulitakiwa tulazimishe serikali kufanya tunayotaka'na kwa taarifa tu hayo ndo matokeo ya upole wetu na ujinga wetu
Kuliko kuwa na katiba mpya mbovu bora iwepo, Sasa ni kuhakikisha mgombea binafsi anakuwepo na 2015 kura zinalindwa usiku na mchana kwa nguvu zote ili kuhakikisha mshindi halali anapatikana
Kuliko kuwa na katiba mpya mbovu bora iwepo, Sasa ni kuhakikisha mgombea binafsi anakuwepo na 2015 kura zinalindwa usiku na mchana kwa nguvu zote ili kuhakikisha mshindi halali anapatikana