Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'

Hivi JF imevamiwa? Mbona inaonekana uwezo wako wa kusoma habari na kuitafsiri ni mdogo sana! nimesoma hiyo stori hakuna mahali panapoonyesha kuwa Dr. Slaa yuko tayari kuzungumza na huyo chizi mahimbo sasa wewe umeitoa wapi hiyo? Nina mashaka sana na nyinyi mliojiunga JF October halafu mnaleta thread za ajabu ajabu, kuna tahaira mwenzio alizusha Slaa atataifisha shule za waislamu tukamkimbiza hapa sasa na wewe unaleta upimbi, kawaambieni waliowatuma kujiunga JF kuwa hili jamvi ni lina great thinkers na Slaa ni "Taifa" kubwa kwahiyo vilaza kama nyie hamuwezi kujenga hoja za kumchafua.

HIVI UNAMAKENGEZA NINI? HEMBU TAFUTA MIWANI HALAFU SOMA TENE HIYO LINK HALAFU UTAONA KIPENGELE HIKI: Hata hivyo Wakili Kitururu alidai kuwa kama watakubaliana katika hatua ya usuluhishi na Dk Slaa kukubali kulipa fidia ya Sh1 bilioni anayodaiwa kesi hiyo itakuwa imeishia hapo.
MPAKA HAPO HUHITAJI KUFAFANULIWA ZAIDI NA MIMI SIJALELEWA NA WAZAZI WENYE KUPENDA KUTUSI SIJUI MWENZANGU KAMA UMETOKEA KATIKA FAMILIA ISIO NA MAADILI!!!
 
habari hii iko wazi dada angu Zubeda ila ujue kuna watu wengine wenye sikio la kufa unajua tena halisikii dawa!!!
 
HIVI UNAMAKENGEZA NINI? HEMBU TAFUTA MIWANI HALAFU SOMA TENE HIYO LINK HALAFU UTAONA KIPENGELE HIKI: Hata hivyo Wakili Kitururu alidai kuwa kama watakubaliana katika hatua ya usuluhishi na Dk Slaa kukubali kulipa fidia ya Sh1 bilioni anayodaiwa kesi hiyo itakuwa imeishia hapo.
MPAKA HAPO HUHITAJI KUFAFANULIWA ZAIDI NA MIMI SIJALELEWA NA WAZAZI WENYE KUPENDA KUTUSI SIJUI MWENZANGU KAMA UMETOKEA KATIKA FAMILIA ISIO NA MAADILI!!!

Jamani haya ni mambo ya kisheria, tuache tabia ya kurukia hoja na kujifanya weledi wa kutoa maelezo na ufafanuzi katika taaluma za watu. Katika mwenendo wa kesi za madai utaratibu ni kuwa mlalamikaji anapofungua kesi anatoa malalamiko yake, kinachofuata ni mlalamikiwa kujibu malalamiko ya malalamikaji.Baada ya mtuhumiwa kujibu inakuwa nafasi ya mlalamikaji kupitia majibu ya mlalamikiwa kuona kama amejibu malalamiko yake au majibu aliyoyatoa hayajamridhisha. kama hayajamridhisha anaieleza mahakama ni kwa nini hajalidhika ma majibu ya mlalamikiwa yote hayo ufanyika kwa maandishi.

Hatua ya tatu mahakama uwaita na kumpatia mlalamikiwa hoja za mlalamikaji za kutokukubaliana na utetezi wake. katika hatua hii inaangaliwa kama mlalamikaji atakuwa na majibu mengine au hana wakiridhia kuwa hakuna majibu mengine kwa upande wa mlalamikaji. HAKIMU/JAJI, wakili wa mlalamikaji na wakili wa mlalamikiwa baada ya kuridhia hatua tajwa hapo juu taratibu inayofuata ni mahakama kupanga tarehe ya usuluhishi kati ya mlalamikaji na mlalamikiwa (hapa ieleweke si mlalamikiwa anayeomba usuluhishi au mlalamikaji bali ni taratibu wa mwenendo wa shauri la makosa ya madi yanavyotaka kwa mujibu wa sheria)

Kwa maelezo hapo juu si kwamba DKT SLAA ameomba usuluhishi bali ni sheria ya mwenendo wa makosa ya madai inavyoelekeza taratibu/hatua za kupitia wakati wa kuendesha shauri la madai. Hivyo ktk hatua hiyo wanaweza kukubaliana wamalize kesi nje ya mahakama kwa mlalamikiwa kulipa fidia anayoitaji mlalamikaji au fidia watakayo kubaliana au mlalamikaji akamsamehe mlalamikiwa wake au kama hakuna muafaka taratibu za kuendesha shauri/kesi hiyo uanza kwa hakimu kupanga tarehe ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo. HIVYO KWA SASA SHAURI/KESI YA DKT SLAA na BW. MAHIMBO hipo hatua ya usuluhishi baada ya hapo tutajua ninikinachofuata

Tuache kupotosha jamii kuwa DKT SLAA ametaka kuwe na suluhu ktk kesi yao bali hizo ni taratibu za uendeshaji kesi za madai (Wanasheria waliobobea watatoa ufafanuzi zaidi kama wataona kuna mambo nimeyaruka katika ufafanuzi wangu ambayo ni muhimu)
 
Back
Top Bottom