Hivi umesoma mpaka darasa la ngapi? Hukufundishwa somo linaloitwa 'Ufahamu'? Katika hiyo habari hakuna sehemu yeyote ambayo inasema kuwa Dr. Slaa atalipa pesa. Mimi nahisi wewe ni kati ya wale mapandikizi walioletwa humu kumvurugia sifa huyu mkombozi wa Watanzania. Kwa kifupi ni kuwa umechelewa sana.LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI KUZUNGUMZA NAE KWANI HUYO MWANAMKE ANAMTAKA NANI KATI YAO WAWILI? HABARI ZAIDI GONGA HAPA: Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'
huyo mwizi wa wake za watu,jamani hata nyie mnaomsaidia kampeni kuweni makini,huwa haachi kitu,na hapendi upweke...
LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI KUZUNGUMZA NAE KWANI HUYO MWANAMKE ANAMTAKA NANI KATI YAO WAWILI? HABARI ZAIDI GONGA HAPA: Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'
huyo mwizi wa wake za watu,jamani hata nyie mnaomsaidia kampeni kuweni makini,huwa haachi kitu,na hapendi upweke...
Hivi umesoma mpaka darasa la ngapi? Hukufundishwa somo linaloitwa 'Ufahamu'? Katika hiyo habari hakuna sehemu yeyote ambayo inasema kuwa Dr. Slaa atalipa pesa. Mimi nahisi wewe ni kati ya wale mapandikizi walioletwa humu kumvurugia sifa huyu mkombozi wa Watanzania. Kwa kifupi ni kuwa umechelewa sana.
Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.
Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.
LEO NIMESOMA HABARI KUHUSU KESI YA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA DR. SLAA KUWA YUKO TAYARI KUZUNGUMZA NA MUME WA MCHUMBAWAKE HII IMENISHTUA KIDOGO NA SIJUI MAANA YAKE NINI NA KWANINI SLAA ANAKUBALI KUZUNGUMZA NAE KWANI HUYO MWANAMKE ANAMTAKA NANI KATI YAO WAWILI? HABARI ZAIDI GONGA HAPA: Kesi dhidi ya Dk. Slaa sasa 'kusuluhishwa'
Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.
Mojawapo ya njia za kujua tabia ya mtu, ni wakati atakapofungua kinywa chake. Unaita wale Watanzania wote ambao wanamshabikia Dr. Slaa kuwa ni wapumbavu? Nani wa kuitwa mpumbavu hapa, yule anayetukana au anayetukanwa? Hoja zikiisha, matusi hujionyesha.Mkombozi wa wapumbavu wachache wanaohitaji kukombolewa kilitulijia sio watanzania, tena uwaombe msamaha watanzania.