kesho.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
inasemekana kesho ni siku ya choo duniani.yaani world toilet day..dah! Wazungu nao bana.nipe maoni kuhusu hio day.
 
Ipo poa kwani nyumba bila choo hakuna ki2 bana so cku hii nadhani ni kuhimiza kila kaya kuwa na choo imara na cha kisasa.
 
Kama hiki
Aaah, hebu acha urongo wewe. Mi napafahamu hapo liliangukia moja ya mabomu (kombora) ya Gong La Mbot. Halafu wewee! Hapo kwa Uncle wangu na ndiyo huyo anafanya assessment hapo.
 
uzuri wa nyumba ni choo na choo chenyewe kisijae.Nalog off
 
Hiyo ni kampeni nzuri, wanahamasisha kila nyumba kuwa na choo cha kisasa.

Choo hoyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…