King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,380
- 99,178
Sawa shukrani sana kwa ufafanuzi nikajua leo ndio imesomwa kwahiyo sikukuu ni leo na sio kesho.Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha.
Sawa shukrani sana kwa ufafanuzi nikajua leo ndio imesomwa kwahiyo sikukuu ni leo na sio kesho.Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha.
Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani?Yap kesho ni maulid. Leo naona kuna mkesha.
kafukua kaburiMkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani?
Au we ni braza k wa futuhi?
Uzi wa 2011 ila swali la 2018 na ni valid ambalo linauliza kama kesho ni sikukuu ya maulidi?Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani?
Au we ni braza k wa futuhi?
Bro, soma vizuri post za Leo tangu mwanzo ndiyo utanielewa.Mkuu unajua huu uzi ni wa mwaka gani?
Au we ni braza k wa futuhi?
Naam kesho ni maulid mkuu 2018Uzi wa 2011 hila swali la 2018 na ni valid ambalo linauliza kama kesho ni sikukuu ya maulidi?