Kesho tutaweka majina ya Wabunge na majimbo yao kwa watakaopitisha kuuzwa kwa bandari

baro

JF-Expert Member
May 12, 2014
2,989
3,738
Kesho 10/06/2023 ndio siku ya kuwatambua wabunge watakaoamua kuuza bandari yetu , kwa kuweka kumbukumbu sawa tutaweka majina yao yote pamoja na Majimbo yao ili historia iwakumbuke kwa kuuza bandari

Hii itakuwa ni kumbukumbu kama ilivyowekwa kumbukumbu ya Chief Mangungo wa Msowero na Dr. Carl Peters.

JINA LA MBUNGE JIMBO LAKE

1. JOSEPH MSUKUMA. GEITA VIJIJINI
2.
3.
4.
5.
6.
7.
........

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Walete. Kumbuka msigeuze kuwa ni vita za makabila.
Walete
 
Kwani mliwaweka nyie?
 
Watakaokubali uwekezaji huo wa dubai hatutawasamehe wala kuwasahau. Lakini wajue hapakalika.
 
Halafu itakuwa nini hasa?
 
Wabunge wote kutoka Hanyengwa-Mchana na Mchambawima..
 
Haina Haja maana kesho wataunga wote , kwa hiyo wewe copy na kupest tu kutoka orodha ya bunge maana wote wako chini ya shinikizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…