Nashukuru kwa heri zenu jamani....mtihani ulikuwa kawaida na nimejitahidi kujibu maswali yote bila kuacha hata kipendele kimoja...hapa ni kudra za mungu majibu yatoke tukapige tena oral tar 11 mwez huu....MAJIBU YA MTIHANI WA LEO WATATOA J3 ASUBUHI....ASANTE