Kesho tukusanyike kwa uwingi Ufipa

It is very expensive to be a Tanzanian!!
 
Kweli anachukia umasikini kawaahidi pro-Chadema wote watakuwa kama Mengi na Bakheresa.
 
Rais wa miyoni mwenu dr wa ukweli Slaa atakuwepo???
 

jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.
 
Kweli anachukia umasikini kawaahidi pro-Chadema wote watakuwa kama Mengi na Bakheresa.

jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Saa ngapi naya NEC lini sio vitu vya kukosa.
 
Mbona waweseka bado MTITI wa kampeni hiyo si fomu ya chama wala sio ishu bado hata ya NEC.

anatakiwa atulie wakati sindano inamuingia,japo anapata maumivu makali avumilie tu manake ndio dawa yenyewe hiyo.
 
Aje chuga tunamsubiri kwa hamu homeboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…