Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Kweli mkuu, nashukuru umetambua hiloLowassa n tumaini la watz wengi
Natoa wito kwa wananchi wote waliochoshwa na mfumo mbovu wa ccm kesho tukusanyike kwa wingi pale makao makuu ya Chadema kinondoni-ufipa tumsindikize mheshimiwa sana waziri mkuu mstaafu Lwaigwanan Mkuu, Mbunge wa Monduli, Nguli wa siasa za Tanzania, Mtu anayechukia umaskini, Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama makini cha Chadema, ikiwa kama ni utaratibu tu kwani yeye ameshakuwa Rais wa nchi hii ambayo akina Riz1 walishajitangazia umiliki wake
Mjikusanye kwa wingi kutokea kasesya,usevya na labels, wamasai watawaletea panya wengi sana huko na hata paka mkitaka kama kitoweo.Natoa wito kwa wananchi wote waliochoshwa na mfumo mbovu wa ccm kesho tukusanyike kwa wingi pale makao makuu ya Chadema kinondoni-ufipa tumsindikize mheshimiwa sana waziri mkuu mstaafu Lwaigwanan Mkuu, Mbunge wa Monduli, Nguli wa siasa za Tanzania, Mtu anayechukia umaskini, Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama makini cha Chadema, ikiwa kama ni utaratibu tu kwani yeye ameshakuwa Rais wa nchi hii ambayo akina Riz1 walishajitangazia umiliki wake
Mkuu hujambo? Ulikuwa umepotelea wapi?Nitakuwepo kulisukuma gari la ndugu yetu EL
Natoa wito kwa wananchi wote waliochoshwa na mfumo mbovu wa ccm kesho tukusanyike kwa wingi pale makao makuu ya Chadema kinondoni-ufipa tumsindikize mheshimiwa sana waziri mkuu mstaafu Lwaigwanan Mkuu, Mbunge wa Monduli, Nguli wa siasa za Tanzania, Mtu anayechukia umaskini, Edward Ngoyai Lowassa kuchukua fomu za kugombea urais kupitia chama makini cha Chadema, ikiwa kama ni utaratibu tu kwani yeye ameshakuwa Rais wa nchi hii ambayo akina Riz1 walishajitangazia umiliki wake
Hizo t-shirts zinapatikana wapi wajameni?"EL Ulipo tupo"