The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Kwa hiyo kila mtu akisafiri kwenda sehemu aje kuuliza humu.
Nimeulizia hali ya kiusalama ikoje huko?
Usalama umesikia Tarime ni Syria.
Wakuu habari yenu, nimepata safari ya kwenda tarime kesho, naomba wenyeji wa huko mnijuze hali ya huko tarime ikoje kwa sasa?
Usalama umesikia Tarime ni Syria.
Acha uoga wa kike kwani umeambiwa hautofika? Tarime ni sehemu nzuri sana ya kuishi hali ya hewa ni baridi kiasi vyakula vinapatikana kwa wingi, ila usijifanye kiwembe au tongozatongoza utaishia kuchalazwa mapanga.
Safari njema
Nalog off
Kwani mkuu molembe uko wapi?
Wakuu habari yenu, nimepata safari ya kwenda tarime kesho, naomba wenyeji wa huko mnijuze hali ya huko tarime ikoje kwa sasa?