Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Polisi watakesha mtaani mwetu.Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.
Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,
Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.
Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Tunasubiri matamko yasiyo na mashikoTarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.
Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,
Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.
Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Mkuu Yeriko, kwanza asante kwa taarifa hii, hivyo na sisi kesho tukae mkao wa kula kusubiria nchi kusimama kwa kishindo kikuu, pili hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kuwa na too great expectations, kuwa kesho nchi itasimama kwa kishindo kikuu, ila swali la kujiuliza ni kwa Chadema ipi hiyo ya kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu ?, kama ndio kwa Chadema hii hii ninayoifahamu mimi, then take it from me, there will be nothing new cha kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu kwa sababu kwa sasa karibu top brass yote ya uongozi wa juu wa Chadema, imeshehenezwa na a saturated solution, it can take no more than what it can, hivyo haina watu wenye that capacity ya kuisimamisha nchi kwa kishindo kikuu.Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.
Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,
Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.
Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Nchi ni yetu sote..
MIKUTANO YA VYAMA NI HAKI YA KISHERIA..
Labda kama tupo kwenye udikteta apo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku mimi ni ccm ila amini ninachokuambia ni kwamba Chadema hakita kufa bali kitazidi kuimarika zaidi.Tushawazoea ,wazee wa tunalaani
Hamna vitendo ,hicho kikao cha kesho hakuna jipya, mngekuwa mnamaana tusingefika hapa tulipo
Chadema kimejifia ,kwasasa chama cha kujiunga nacho ni ACT WAZALENDO
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.