mpe somo huyu binti naona ananihadhirisha mtu mzima huku jamvini...
wanaume wanaolala na kyupi wapo Somalia huko enetaimu kukimbia vita....
kisiwa cha amani Bongo uanze tu kuvaa boksa, kwani kitandani ni swimming pool eboh!
Hongera kamanda kwa kufikia malengo yako,nakutakia heri na baraka tele katika maisha yako ya ndoa, Mola awatangulie na kuwaongoza katika kila jambo lenu,haya mambo ya jf,hasa chichat,ni masikhara tu,ndoa yako ichukulie seriously,no cheating,full kuwajibika.
Amina!Ndugu zangu wana chit chat woote, nashukuru kwa sms, PM na hata wale walonipigia simu kunitakia shughuli njema hii ya muhimu sana maishani mwangu. Ahsanteni sana na Mungu awabariki saaana!!
Hahaha, akiamka mpe pole. Ila akiamka tu u log off chapu, usimkwaze eeh?Nimejitahidi nimeshindwa, unajua i'm addicted sweetlady. Siwezi kaa siku 1 bila kutimba humu. Sasa hivi wifio amelala, shughuli ya jana mchana na usiku imemchosha sana. Mi nina aleji na usingizi wa mchana.