Hongera kamanda kwa kufikia malengo yako,nakutakia heri na baraka tele katika maisha yako ya ndoa, Mola awatangulie na kuwaongoza katika kila jambo lenu,haya mambo ya jf,hasa chichat,ni masikhara tu,ndoa yako ichukulie seriously,no cheating,full kuwajibika.
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache niliowakaribisha bila shaka watawawakilisha kikamilifu.
One love JF, one love Chit-Chat.
Copy to Chimbuvu Arushaone Baba V Paw Madame B Asprin na watu wangu woote!
Hayakuhuu!
Kwa taarifa yako bishanga ni gesi asilia,naingia popote na kumchupa sienei.Yananihuu.......Babu weeeeeeee
Msiwafuje wake zenu.
Siku tukiacha kuwapa uroda ndo mtakoma.
na wewe Bishanga Ungekuwa mume wangu wewe,
Ningekuwa Nishakuweka Kwenye Chupa Siku nyiiiiiingi.
Kwa taarifa yako bishanga ni gesi asilia,naingia popote na kumchupa sienei.
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache niliowakaribisha bila shaka watawawakilisha kikamilifu.
One love JF, one love Chit-Chat.
Copy to Chimbuvu Arushaone Baba V Paw Madame B Asprin na watu wangu woote!
Karibu kwenye ulimwengu wa walala bila kyupi
Kila la kheri mdogo wangu Chilli
Maisha ya ndoa si magumu au mzigo kama wengi wanayofikiri. Mpende mkeo, mheshimu, msikilize, mridhishe na mpendezeshe.... Hutomkinai na hutojuta kumuoa.
Niko ndani ya ndoa kwa miaka 12 sasa. Nilioa kabla sijainusa wala kuikaribia miaka 30 na sijawahi kujuta kuoa ila najilaumu kwanini sikuoa mapema zaidi.
Sasa basi kama ikabidi yale mambo yakatokea basi yafanye kwa umakini na kwa usiri mkubwa. Hapaswi kujua.....(shiiiiiiii)
Mungu akuongoze katika njia zako. Amina
sasa naamini hujaoa
kwa taarifa yako mwanaume halali bila kyupi!!
Embu fikiria kitu cha ghafla kikitokea wewe kama baba mwenye nyumba mpaka uvae si leo
aisee jando inahitajika hapa
tatizo ushaanza kulewa.Oyaaaaa!
Acha longolongo mingi, nipe lokeshen na time kabla sijaanza kulewa nikasahau.
sasa naamini hujaoa
kwa taarifa yako mwanaume halali bila kyupi!!
Embu fikiria kitu cha ghafla kikitokea wewe kama baba mwenye nyumba mpaka uvae si leo
aisee jando inahitajika hapa
Mpenzi wangu amu sikiliza na unielewe...... Mwanaume alalaye na mkewe akiwa kavaa chupi basi ujue huyo mwanaume si rizki.
Mwanaume wa kweli halali na mkewe akiwa kavaa kyupi.