Kesho naelekea Songea

Kesho naelekea Songea

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
896
Habarini, kesho kwa mara ya kwanza naenda Songea kutembea.

Kama upo Songea njoo inbox tuyajenge na kupeana fursa.
 
Yule mwingine anasema anaelekea Bujumbura...yaani vurugu tupu
 
Ukivuka Njombe, kuna Milima inaitwa Ukumburu, lazima uone ajali. Usipoona tu…
 
Karibu sana mkuu,na travel safely huku ni safi kabisa na tuna ukarimu sana kwa wageni, kama una drive mwenyewe endesha kwa usalama na Lukumburu pass kuwa careful, mimi nipo lingusenguse, karibu
 
Karibu sana kwetu, japo sipo huko kwa sasa, ila kwetu ni pazuri.
Naamini utafurahi mwenyewe, wakunyumba mlioko huko mu mpokee mgeni wetu.
 
Mwingine anaenda bujumbura burundi

Huyu yeye anaenda Songea

Ngoja tusubiri mwingine
 
Back
Top Bottom