Mkuu anaitwa Freeman Mbowe. Ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, na ni Waziri Mkuu kivuli!. Uwe unafuatilia masula ya kitaifa mkuu, utaaibika.
Kwani Mbowe ni nani nchi? ana mamlaka gani! acheni kushabikia vitu kisiasa...au ni migomo ya kutengeneza!