Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Kesho ushindi wa kishindo toka Tanzania ipate Uhuru wake
Tutawachapa kwenye vitongoji
Tutawachapa kwenye vijiji
Tutawachapa kwenye mitaa
Hatunywi sumu,hatujinyongi......waache waandamane....
Tumewakamata kwenye mitaa
Tumewakamata kwenye vijiji
Tumewakamata kwenye vitongoji
Ccm chaguo letu, tumeipenda wenyewe
Chini ya Magufuli ushindi utakuwa ni 99%
Hongera Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake
CCM MBELE KWA MBELE
Yani wewe kweli kiazi mbatata bingwa wa kusifu na kuabudu kutoka lumumba FC
Kesho ushindi wa kishindo toka Tanzania ipate Uhuru wake
Tutawachapa kwenye vitongoji
Tutawachapa kwenye vijiji
Tutawachapa kwenye mitaa
Hatunywi sumu,hatujinyongi......waache waandamane....
Tumewakamata kwenye mitaa
Tumewakamata kwenye vijiji
Tumewakamata kwenye vitongoji
Ccm chaguo letu, tumeipenda wenyewe
Chini ya Magufuli ushindi utakuwa ni 99%
Hongera Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake
Kesho ushindi wa kishindo toka Tanzania ipate Uhuru wake
Tutawachapa kwenye vitongoji
Tutawachapa kwenye vijiji
Tutawachapa kwenye mitaa
Hatunywi sumu,hatujinyongi......waache waandamane....
Tumewakamata kwenye mitaa
Tumewakamata kwenye vijiji
Tumewakamata kwenye vitongoji
Ccm chaguo letu, tumeipenda wenyewe
Chini ya Magufuli ushindi utakuwa ni 99%
Hongera Magufuli kwa kuirejesha Ccm kwenye makali yake
Hata kabla ya nyumbu hawajatia mpira kwapani ccma ilikua imepita bila kupingwa kwa asilimia 51 , sasa hiki kipolo unakula bila presha unashushia supu ya nyumbu na chapati pale ufipa pub kwa mangi.
CCM ni kama kiwembe ,makali yake ni kotekote na hata kikivunjika kinabaki na makali ya upande mmoja ambayo ni hatari pia.
Wewe ni chizi wa CCM!
Kesho kuna UCHAFUZI wa CCM siyo UCHAGUZI....!!!!
Dunia yote inaona na inashuhudia na Mungu anaona tokea Mbinguni anaona maovu, hila,udanganyifu na ubakaji wa Demokrasia Tanzania....!!
Ivumayo sana lazima ipasuke.Ni swala la muda tu.
Mnashindana na nani kesho?
Mnashindana na nani kesho?
Waliosusa wakae pembeni watuachie shughuli yetu
Vyama 11 vinashiriki Uchaguzi
Vyama 11 vinashiriki Uchaguzi
Ewe fisiccm wa Lumbua, uko sahihi kabisa kwa 100%...!!!
Kweli Uchaguzi wa kesho ni SHUGHULI YA CCM wala siyo jambo la Kitaifa kama ilivo ainishwa katika Katiba kwa ajili ya Watanzania wote..!!!