Kerry: Tungedungua ndege za Urusi

Bukyanagandi meli iyumbe yumbe kwa kupita ndege mbili angani duu..
GPS, radio & navigation systems were jammed,...
Nimesoma taarifa ya habari ya Shirika la uchina.. Kweli it was a great humiliation....
Sishangai Urusi ku jam modern systems za Uss Donald Cook... This is the second time, the first incident happened in last year.. The same ship was humiliated by the single Russian made Su 24 multirole attack jet
 
Hawa watu hawakosi malumbano na vikao kila baada ya muda na kisha visa vya mikwara vinaanza tena, wenye ujuzi nifungulieni hili.......kwa nini Russia anaonekana kutoiogopa America pamoja na kwamba linachukuliwa ndio taifa lenye nguvu duniani huku likiwa na umoja wa Nato uliosambaratisha tawala nyingi?
Kwa nini America kote hana mzaha ila kwa Russia anaonyesha nidhamu ya woga?
Naomba uelewa wakongwe wa duru za kimataifa
 
apeleke tena kadege kake anga ya uturuki, mbona kwenye navy ya marekani wamerudiarudia?! tatizo marekani anawalealea mno!
Wewe Jamaa unapenda sana Vita hujui hata madhara yake??
 
Sijawahi kusikia marekani wakikandia uwezo wa kijeshi wa warusi hata siku moja, ila kwa warusi kuponda US ni mara nyingi tu.

Marekani huwa wako smart sana kwenye kila jambo ndio maana nashangaaga watu kuto quation habari za kujivua nguo zinazotoka jikoni kwao wenyewe kuzibeba na kuziamini kama zilivyo.

HAWAJAWAHI KUWA WAPUMBAVU KIASI HIKI TUMIENI AKILI.
 
Umeshawahi kuona Simba na Chui wakidhuriana kwenye jangle.The same like that.
 
Russia is not a global power but it's a regional power
 
urusi, korea kaskazini, zimbabwe hizi nchi zinapenda sana kutafuta umaarufu wa kijinga lakini hazina lolote, waige jinsi ya kupata umaarufu kwa US, CHINA, JAPAN, S.KOREA, GERMANY, nk
 
urusi, korea kaskazini, zimbabwe hizi nchi zinapenda sana kutafuta umaarufu wa kijinga lakini hazina lolote, waige jinsi ya kupata umaarufu kwa US, CHINA, JAPAN, S.KOREA, GERMANY, nk
Hizo nchi zinapendaje huo umaarufu wa kijinga toka kwa marekani mkuu???
 
urusi anaigopa sana US kuliko kitu chochote kile, hiyo mikwala hata tanzania tunaweza piga, au huoni north korea, iran au mgabe anavyotukanaga western lakin hawana time nao? ili uone hasira za US gusa maslahi yao lazima uisome namba. US hapiganagi vita vya hasara hata siku moja, ni deal tu
 
America inatambulika kivita ila kama wapo dizain ya simba na chui, basi inaonekana Urusi nayo sio mchezo......pamoja mkuu

Urusi na Amerika wote wana viwanda vya silaha na hizo mbwembwe ni kuzifanyia majaribio silaha mpya. Hata hizi vita vya nchi za kiarabu na za kiafrika ni mwendelezo wa kuimarisha viwanda hivyo. Wanatupiganisha halafu wanatuuzia silaha na wananchi wao wanapata ajira na serikali zao zinapata kodi na hapo hatuna ujanja. Mbona hatujiulizi kwa nini wazungu hawapigani wenyewe kwa wenyewe?
 
marekani, china, japan, south korea, nk wako kipesa zaidi, hawanaga huo upuuzi wa kupoteza muda wa bure
 
Heeeh, makubwa, sikujua kuwa kumbe kuna ubishi wa kiwango hiki
ubishi gan? hakuna unachojua ww kaa kimya, syria hata jwtz inaweza kurushu ndege zao za kivita, ni kutoa taarifa tu kwa wadau wengine waliopo pale, syria sasa haicontrol anga zake. hata kesho magufuli akisema IS wanatishia usalama tz hivyo anatuma ndege kwenda kushambulia, ni kuwajuza tu wadau anaanza kazi
 
ila aisee arsene wenger akiendelea kua kocha wa arsenal baada ya huu msimu mi naacha kabisa kuangalia mpira wazee
 

mmmmmmmmmhhhhhhhh haya bwana, wewe ndiye unayejua
 
teh teh teh yaani wewe jamaa, bado unawasikiliza hawa BBC wanaoripoti mabaya ya afrika kila siku. Unategemea nini kuhusu serikali hasimu ya Urusi.??
kwa hawajasema unachopenda kusikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…