Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,046
Kuna watu wanajiita wapiga debe kwenye vituo vya mabasi.
1: Watu hawa wamekuwa kero sana kwa wasafiri, kwani wamekuwa wakikubaliana bei na wasafiri, na baada ya msafiri kuingia kwenye gari, wao wanabaki pale baada ya kupewa kiwango fulani cha fedha
Unafika maali unatoa nauli mliyokubaliana, Konda anakuambia hamjakubaliana hivyo. Ukimwambia ulikubaliana na aliyekuwa anapiga debe anakujibu kirahisi tu, Mimi ndiye konda na yule mimi simjui, kwani uliongea na mimi?
Hapo itabidi ulipe kiwango husika na kuharibu bajeti yako.
2: Baadhi ya wapiga debe wamekuwa wakiwaibia abiria fedha na simu.
3. Wengine wanajitokeza kushusha mizigo kweny gari, na wanakulazimisha uwalipe.
VIJANA WENGI HAWAFANYI KAZI ZAIDI YA KUKAA KWENYE |VITUO VYA MABASI NA KUDAI MAKONDAKTA WAWAPE HELA KWA LAZIMA
JE MAMLAKA HUSIKA WANAFAHAMU HIZI KERO? JE WAMESHINDWA KUWEKA UTARATIBU WA WENYE MABASI KUSIMAMIA JAMBO HILI?