Kero za huduma ya Simbanking toka CRDB

Kero za huduma ya Simbanking toka CRDB

Pole mkuu hii hutokea japo marachache Sana, milihamisha tsh 600k haikufika kwa Mpesa nikajipa moyo siku kama tatu bila kuona mabadiliko mpesa wala kurudishwa CRDB, zikapita kwa kuwa nilikuwa maeneo ya ndani Sana nikampigia mtu alikuwa town awaeleze kisa changu wakamwambia asiwaze itarudi kweli baada ya SAA kadhaa ikarudi CRDB, mara ya pili ilikuwa 200k this time siku hangaika zaidi ya kutafuta plan B kweli baada ya muda ilirudi so usihofu utarudishiwa!
Hata kama watarudisha, the fact is their efficiency is very low
 
Mkuu unaeleza vema sana ila hujui tu, niliwapigia wakasema kweli pesa imekatwa ila haijalipwa Dstv, tunaomba usubiri baada ya 24 hours tutakua tushawasiliana na Dstv tujue unaunganishwa au tunakurudishia pesa yako, 24 hours ni masaa 24 kwa kiswahili Sasa fikiria nililipa tarehe 27 mwezi huu, hayo masaa 24 bado hayajapita? Au mimi ndio sijui kusoma mkuu nisaidie hapo!!! Alafu leo wananiambia nisubiri mpaka Jumanne ina maana wanasema ngoja kwanza sikukuu ipite, hivi hiyo hela ni yangu au nawaomba msaada? Wanaudhi sana hawa watu
Pole mkuu.

Unamaanisha wanawasiliana na DsTV kwa kutumia human representative na sio systems zenyewe zinaongea?
 
Pole mkuu.

Unamaanisha wanawasiliana na DsTV kwa kutumia human representative na sio systems zenyewe zinaongea?
Sijajua wanawasiliana na Dstv kwa njia gani, Mimi nilichofanya ni ku-confirm pesa iko wapi nikabaini bado iko crdb maana niliwapigia dstv pia wakasema akaunti yangu iko empty, na kingine crdb walileta message kwangu wakinijulisha kwamba ile huduma ili fail, cha ajabu pesa wamekata na wananisumbua kurudisha
 
After-shit support yao imekuwa mbovu. Hakuna namna zaidi ya kuvumilia boss.
 
Mtoa hoja jua hayo ni mambo ya mfumo, hivyo hakuna sehemu ambayo hutakutana nayo, ukenda tanesco yapo usafirishaji yapo, kuna kipindi mnaweza kukaa stesheni hadi ujute, mitandao ya simu yapo, hivyo suala linalofanya kazi kwa kutumia mashine hiyo ni changamoto ya kawaida, haina haja ya kuhimiza watu wasitumie huduma hiyo, unachotakiwa kuhimiza mtoa huduma kujitahidi kukabiliana na changamoto.
 
Wajinga sana hao simbanking crdb. Usijaribu huo upuuzi.
Kuna kipindi nilitoa kiasi flan Wakasema system down jaribu tena.
Nikajaribu mara ya kwanza ya pili na ya tatu.
Nikaona niache nikaenda kwenye atm.
Nikatoa pesa.
Jioni yale majaribio yote yakatuma zile pesa.
Wakawa wamekata kamisheni yao.

Nikawapigia kuwa nataka nijitoe simbanking kadada kakaniambia ukishajiunga umejiunga huwezi kutoka.

Nikakaambia pumbavu zako.
Dawa yenu ndogo.
Nikapasuabline nikaenda ku renew.
Ukirenew sim card operations zote sa simbanking zinastop.
Basi hadi leo sitaki huo upuuzi wao
Mimi kadi ilipo expire,sim banking ikakataa,inaniambia kadi yangu imebadilika nilikuwa nataka nikaunge tena basi sifanyi tena,kumbe ni upuuzi.
 
Mtoa hoja jua hayo ni mambo ya mfumo, hivyo hakuna sehemu ambayo hutakutana nayo, ukenda tanesco yapo usafirishaji yapo, kuna kipindi mnaweza kukaa stesheni hadi ujute, mitandao ya simu yapo, hivyo suala linalofanya kazi kwa kutumia mashine hiyo ni changamoto ya kawaida, haina haja ya kuhimiza watu wasitumie huduma hiyo, unachotakiwa kuhimiza mtoa huduma kujitahidi kukabiliana na changamoto.
Mfumo ndio unapanga sikukuu? Kwamba sikukuu ipite ndio mfumo utakubali kufanya kazi? Hebu acha utani mkuu, hizi kauli za kuwajibu watu kirahisi eti mfumo kwani huo mfumo ana operate nani Kama sio wafanyakazi wa benki? Kama unajua mfumo ndio kila kitu basi wafanyakazi wa benki wasingekua wanasema watashughulikia wangeacha mfumo wenyewe ufanye kazi.
 
Wakuu hivi hakuna namna ya kujiondoa na hii huduma?
 
Pole mkuu hii hutokea japo marachache Sana, milihamisha tsh 600k haikufika kwa Mpesa nikajipa moyo siku kama tatu bila kuona mabadiliko mpesa wala kurudishwa CRDB, zikapita kwa kuwa nilikuwa maeneo ya ndani Sana nikampigia mtu alikuwa town awaeleze kisa changu wakamwambia asiwaze itarudi kweli baada ya SAA kadhaa ikarudi CRDB, mara ya pili ilikuwa 200k this time siku hangaika zaidi ya kutafuta plan B kweli baada ya muda ilirudi so usihofu utarudishiwa!
Hili sio lengo
 
Back
Top Bottom