Kero za camera siri

Kero za camera siri

Duh!!!

Huyo lazima anahisi kitu kibaya ila hakukuambia au hajakuambia bado..
si mhisi baya ila kanisisitiza niwe makini na hivo vicamera mwizi wangu ndo haohao wanaonijia kila siku kumbe wanarekodi ninavofunga mahesabu jioni ili waniibie

so amenipa elimu nzuri juu ya camera.
 
Hahahahahaha


Upinguze kukaa uchi usikute kuna watu wanakuonaga dirishani


Nlikuwa na jirani yangu hafingi dirisha ucku kila siku naona manyonyo
ha ha ha ha nijibane kutwa nzima mpaka hom loooo.
 
Upuuzi kama huu huwa naukuta baadhi ya Lodge. Nachukia sana kurekodiwa bila kujijua.
alafu baada ya hapo hiyo video inauzwa kwa kusambazwa mitandaoni


mxiiiiu.
 
Pole hurusiwi kumchuria hatua za kinidhamu kutoka hapo
 
Back
Top Bottom