Kero za camera siri

Kero za camera siri

poleni na majukumu!!

kiukweli hizi camera zenye video record xinazopachikwa kwenye vishkizo au hata ndani kwako na kisha kudukua vitu bila ya wewe kujijua na mhusika alietega anakuha kujionea mengi mno.

yaani sijui nielezeje zinakera, zinaboa, zinauzi mno. na naiomba mamlaka husika ijaribu kulitatua hili swala ikiwezekana hizi camera zimilikiwe na watu maalumu hususan wana usalama na sio kiholela.

iko hivi ni wiki tulipata mgeni sasa kumbe kabla hajarudi kwaoalitegesha video ilikuwa kwenye kochi masikini weee pitapita huku tukiwa utupu wa mwili wengine katika harakati za kuoga kumbe kitu kinarekodi tu siku iliyofuata alietegesha akaja akakichukua amefika kwake akantumia video eti tuwage saaingine tunafanya usafi wa makochi kila mara.
jamani imeniboa mnooo. uzuri tu ni dada yangu sasa napata picha angekuwa mtu baki je???

vitu vingine ni hasara tu.
Vinapatikana wapi hivyo camera.... Ipende sana technologia.....
 
Upuuzi kama huu huwa naukuta baadhi ya Lodge. Nachukia sana kurekodiwa bila kujijua.
 
Dada mubaya ka nini. Ati kaisahau kwenye kochi, tena lile lililolenga chumbani kweli hana adab. We na yeye mkubwa nnani? Ka ni yeye ana lake jambo. Ka ni wewe anadhani kila siku kojoo la mumeo huongezeka
 
Camera kama hizi, zinazimilikiwa na watu binafsi ni kwa ajiri ya fumanizi hapo ndani, lakini hata mtu ambaye huusiki unarekodiwa...... [emoji16] [emoji16]
 
Dadayako kaangalia sehemu zako na kukwambia uzifanyie usafi...kwanini akutegee wewe camera? So kaona tupu yako pia?
hiyo haina tabu

tabu ni pale awe mtu baki.
 
nimeimagine angekuwa mtu baki.

Hahahahahaha


Upinguze kukaa uchi usikute kuna watu wanakuonaga dirishani


Nlikuwa na jirani yangu hafingi dirisha ucku kila siku naona manyonyo
 
Back
Top Bottom