apathy
Member
- Sep 26, 2024
- 5
- 3
Huku Kondoa mjini hapa kunao wakandarasi wamepewa kazi za barabara ila sasa ni wiki ya pili wamemwaga kifusi barabara za mtaani na wamemwaga katikati ya barabara mpaka pikipiki hazipiti inaleta kero sasa tumevumilia tumechoka kama hawawezi kuvisambaza kwa haraka wasimwage vifusi bila mpangilio