Kero ya usafiri wa mwendokasi

Kero ya usafiri wa mwendokasi

Brown kulax

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
17
Reaction score
8
Kumbukumbu zangu zinanirudisha February 2019 ambapo Waziri Mkuu alisema kero ya usafiri huu itaisha August, 2019.

Jambo la kufikirisha ni kwamba mpaka leo hii bado watu wanateseka na usafiri huu.

Najipa swali kwamba kama tunashindwa kusimamia mwendokasi, treni ya SGR tutaweza?
 
Tanzania tumefeli kila kitu,Mwendo kasi ni kero tupu hasa route ya kimara/ubungo yaani zinajaza hadi pa kukanyaga unakosa halafu hapo hapo zinakuja gari za kwenda kivukoni zipo empty na kuna abiria kama wote lakini halipakii linaenda kupakia abiria wawili wa kivukoni kisha linaondoka likiwa tupu.
 
asilimua kubwa wanaopanda hayo mabasi ni wananchi wa kawaida

me nafananisha hayo magAri nikama shule za kata tuu kwani usimamizi mbovu wao wakiona hakuna anae wapigia kelele wanaacha mambo yaende shagharabaghara

watanzania bado hatujastaarabika bado tupo gizani.
 
Sitasahau siku nipo fire station nasubir gari za kwenda moròcco nikiwa na nia ya kwenda tu kinondoni nilsubir zaid ya saa nzima. Nilipotaka kuondoka nichukue taxify ndo likaja daah hakika huu usafir unakero sana.

Wenzetu ujeruman wanao mradi wa tren inayoninginia kwa zaid ya miaka 100 sasa na inaperfom tu vizur, sisi huu mrad sidhan ata miaka 10 haujamaliza. Hiv nan ameturoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe ukaamini kabisa mkuu kwamba litaisha ??? Hahaha
tapatalk_1576575994517.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha na utaratibu mpya wa kuchana tiketi..sikuhizi hata notification za kituo kinachofuata hazipo tena..sasa kwa wageni sijui ndo mambo ya kuuliza abiria wenzio..vinginevyo utapitiliza kituo...mbona tulianza vzr tunakwama wapi sasa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitasahau siku nipo fire station nasubir gari za kwenda moròcco nikiwa na nia ya kwenda tu kinondoni nilsubir zaid ya saa nzima. Nilipotaka kuondoka nichukue taxify ndo likaja daah hakika huu usafir unakero sana.

Wenzetu ujeruman wanao mradi wa tren inayoninginia kwa zaid ya miaka 100 sasa na inaperfom tu vizur, sisi huu mrad sidhan ata miaka 10 haujamaliza. Hiv nan ameturoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungepanda uba tu
 
Na madereva wa hizo bus wanaongoza kwa kupita na taa nyekundu pia kutokusimama kwenye zebra. Yaani wanachuana na boda boda kwa kutokufuata sheria
Ukiacha na utaratibu mpya wa kuchana tiketi..sikuhizi hata notification za kituo kinachofuata hazipo tena..sasa kwa wageni sijui ndo mambo ya kuuliza abiria wenzio..vinginevyo utapitiliza kituo...mbona tulianza vzr tunakwama wapi sasa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitafakari kwa kina unapata majibu kwamba hata Mwl. nyerere alianzisha vitu vingi vya maendeleo lakini vilikufa karibu vyote. nadhani tatizo la sisi weusi ni management hatujawahi kuwa na historia ya kuperform vizur kwenye management si jambo la ajabu kutabiri kwamba hata hii miradi ya Rais Magufuli itakufa itakapokamilika kwa kukosa management nzuri.
 
Kumbukumbu zangu zinanirudisha February 2019 ambapo Waziri Mkuu alisema kero ya usafiri huu itaisha August, 2019.

Jambo la kufikirisha ni kwamba mpaka leo hii bado watu wanateseka na usafiri huu.

Najipa swali kwamba kama tunashindwa kusimamia mwendokasi, treni ya SGR tutaweza?
Na ishu nyingine ni kuhusiana na mifuniko ya juu kwenye mwendokasi huwa hazifunguliwi ili kupunguza hali ya joto ndani kiasi kwamba abiria ni wengi kupita maelezo na joto linakuwa jingi sana.
 
Kumbukumbu zangu zinanirudisha February 2019 ambapo Waziri Mkuu alisema kero ya usafiri huu itaisha August, 2019.

Jambo la kufikirisha ni kwamba mpaka leo hii bado watu wanateseka na usafiri huu.

Najipa swali kwamba kama tunashindwa kusimamia mwendokasi, treni ya SGR tutaweza?
Okay
 
Kwanza nani aliamuru depot ya mwendokasi ijengwe hapo jangwani?

Ova
 
Back
Top Bottom