KERO Kero ya miundombinu mibovu Kunduchi - Mtongani (Dar)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu..

Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye makazi ya watu inazidi kimeguka hali inayoweka nyumba zao katika sintofahamu..

Eneo hili limeharibika muda mrefu lakini alifanyiw kazi hali ya kuwa wananchi washatoa malalamishi yao katika ofisi za serikali za mtaa.

Je, serikali inasubiri nyumba za wananchi hao kusombwa na maji na barabara inayoelekea kunduchi beach kumeguka ndo ichukue hatua?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…