A
Anonymous
Guest
Mimi mdau wa jamii forum, ninakero unayohusu idara ya maji katika wilaya ya Mafia kisiwa cha mafia mkoa wa pwan, maji wanayotumia wakaazi wa mafia si salama kwa afya za wakaazi kutokana kuwa na taka taka nyingi na kutu kushindwa kutumia kwa matumizi ya nyumbani hivo tunaomba mamlaka zisaidie kutatua hii kero maana ipo kwa zaidi ya miaka 7 sasa