Kero ya hii ndoto

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu binafsi wanaCC

Jamani hii ndoto imekuwa kero kwangu, last week niliotanimekamatwa na vibaka wakanipiga risasi mikononi mpaka damu zikawa zinavuja kwawingi ila sikufa, jana tena nikaota nakimbizwa na wanyarwanda wakawa wanalipuamabomu lakini hayakunipata. Isiposhe na my mummy naye aliota ndoto kama hiyolast week, kuwa anakimbizwa na risasi..

Sijui ni mapepo gani haya yanayoniandama kuhusiana na risasina mabomu!!!!!

Nimefadhaika sana!!!!!!!
 
ni fikra zako za mchana tu huizo kipenzi ,uyawazayo ndio uyaotayo mabomu ya arusha!!watu waliopigwa risasi si unaona kila siku usihofu ,mwombe mungu na ulale .au zidisha ulizzi wa nyumba
 
pole, fikira za kuahamishika hizo, jitahidi upaye muda mzuri wa kupumzika...
 
Daaah.... Nshaanza kupata hofu, kumbe ni kitu simple hivyo. Kidogo nihame mji!!!!!!!!!!
 
hata hivyo siyo simpo kihiiivyo
unatakiwa uombe sana ili kuvunja hiyo roho.

mwaka jana bwana mmoja alikuwa anaota majeneza manne
na mke wake akawa anaota hivyo hivyo

kweli at last wanaenda kumpeleka kijana wao shule huku maeneo ya chanika (kama nimekosea samahani)
wakakuta kuna basi (moro bus) linafanyiwa testi baada ya kuwa gereji kwa matengenezo
kilichotokea ile bus ilipanda juu ya ile gari yao ndogo na wote wanne wakaishia pale pale.

so please omba sana ukiweza washirikishe wana maombi hata kwa kufunga pia.
 
ni fikra zako za mchana tu huizo kipenzi ,uyawazayo ndio uyaotayo mabomu ya arusha!!watu waliopigwa risasi si unaona kila siku usihofu ,mwombe mungu na ulale .au zidisha ulizzi wa nyumba

dalaliiiiiiiiiiiiiiiii haujambo? Umeadimika
 

ni ndoto za kawaida tu hzo zinatokana na mawazo yako tu..
 

my sisy hebu jitahidi kuomba
hiyo inaashiria kitu kibaya mbeleni
vunja nguvu za mapepo wachafu,usidharau!!
 
Uncle nasali sana tu, na hata baada ya kuota hiyo ndoto nilistuka nkasali....

sali kwa kumaanisha, kukemea na jitahidi kama ni mkristo uwe na bible pemben kwa kufungua vifungu vichache ilikuweza kuipa power maombi yako dhidi ya hiyo ndoto/fikra mbaya nasi kusali kama unasinzia.... Si unajua ukitaka kupigana na adui unatakiwa uweje??
 

Asante sana Lady doctor kwa ushauri wako!
 
Last edited by a moderator:
oooh my boss charminglady hiyo ndoto ilikuwa ina maanisha yanayotokea kwetu ntwara.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…