platyhelminthesis
Member
- Jun 5, 2019
- 46
- 63
Barabara hii ni muhimu kwa shughuli za kiuchumi kwa maana kuna viwanda vingi maeneo hayo, soko kubwa la vyakula na machinjio kubwa ya ng'ombe.
Jambo la kushangaza kuna daladala zinazoenda maeneo mbali mbali ya jiji zinapita hapo ila barabara ni mbovu kupitiliza na haipitiki vyema kipindi cha mvua. Viingozi wa serikali wapo na ni suhala la muda mrefu ila linafumbiwa macho.
Tunaomba viongozi wawajibike ipasavyo kwamaana kodi na ushuru mwingi unatozwa maeneo hayo kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi
Hii ndo hali halisi