Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Hawa TTCL tangu jana hadi sasa yani hatuwezi kuingiza vocha, Kwa style hii TTCL itaendelea kukosa wateja hata wataodiriki kujaribu huduma zao...SHAME, AIBU!!🙁🙁
UPDATE: Kwa sasa ninatumia application ya selcom kununua vocha za ttcl
UPDATE: Kwa sasa ninatumia application ya selcom kununua vocha za ttcl