Tanesco Ilala (Tabata) mna shida gani?

username1

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
266
252
Hii kata kata ya umeme kila siku kila saa mna mpango gani?

Kama ni kuunguza vifaa tushaunguza mna agenda gani?

Kateni hata week sio kata rudisha mnatutia hasara.
 
Kwakweli hii imekuwa kero iliyokosa ufumbuzi mpaka sasa kila siku tanesco mnakata umeme kata rudisha kata rudisha
 
Mpaka kero mkuu, kila Jumanne na jumatano wanakata asubuhi saa moja wanarudisha saa mbili, wiki hii wamekata Jumanne, Jumatano na Alhamisi, tena ulivyokata Jumatano asubuhi haujarudi mpaka Alhamisi usiku.
 
Aha ha a naona wamekukera mkuu, maana umekatika Mara 2 ndani ya robo saa, itakuwa fault za kawaida tu hizo..
Kwakweli hii imekuwa kero iliyokosa ufumbuzi mpaka sasa kila siku tanesco mnakata umeme kata rudisha kata rudisha
 
Wamekata umeme muda sio mrefu hapa tabata na wakaurudisha week iliyopita wametukatia Zaid ya mara tatu asubuhi mpk jioni
 
Kabisaa kibaya zaid n kata rudisha kata rudisha kata rudisha. Nadhan watakua kuna njuka wanawafanyia training ya kukata na kuwasha umeme.

But mmekua KERO MNO, afata mkipigiwa simu kuja sasa!!!ad siku 2
 
Siku mbili wanakuwa wamekupendelea wanakaa hata week

Kwanza simu hiyo kupiga I kapatikana ni tabu ilipatikana kupokelewa pia n shida
 
Back
Top Bottom