Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,203
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungejitahidi umkaze Yeye na Wanae pia.
NshagapoaPole sana mkuu
..............
Mmama anamumewe kabisa..nilijua kwangu tu...ishu ni kwamba kila mpangaji akihamia ndo wanamfanyia hivo ukiwa mkali wanakukaushiaUngejitahidi umkaze Yeye na Wanae pia.
Umetuangusha Mkuu. Ungewakaza pia.Mmama anamumewe kabisa..nilijua kwangu tu...ishu ni kwamba kila mpangaji akihamia ndo wanamfanyia hivo ukiwa mkali wanakukaushia
Sasa mkuu kwa mazingira niliyokuwa nayo ilibidi nipange tu kozi nilikuwa nasoma...siwezi nikajenga au nikasema nipange apartmentTutaongea Sana ila solution ya kudumu ni kuwa tutafute pesa tujenge au tupange nyumba nzuri ambazo ni comfortable