Kero kubwa kwenye tendo la ndoa

Umeandika yale yale yanayoimbwa mitandaoni kila siku na still watu wanaachana pamoja na kupata hilo tendo timilifu.

Mapenzi ni zaidi ya tendo kijana japo tendo limechukua nafasi kubwa kiasi.
Kwasababu sio muda wote mtasex na ndio maana mtu ni rahisi kwa mwanamke kumvumilia mwanaume asie mzuri kitandani kuliko kumvumilia kapuku aise na pesa ila kwa bedi yuko njema.

Ndio maana huolewa hata na mababu ambao kwa kuwaangalia ni hamna kazi.
 
Wanandoa linapokuja swala la kufanyana unafiki mwingi sana....mkeo utamtia kimoko cha kujivuta vuta tena kifo cha mende, hata papuchi hamzilambi tena tangu vita vya kagera huko ni ikisimama tu unamchanua miguu kama nini sijui, mechi za ugenini unapiga viuno cherehani pmb la hela yote.

Jamani watu wameondoka makwao kufata mb0.0o kama ni vitanda hata makwao vipo oooh!!!
 
Wanandoa linapokuja swala la kufanyana unafiki mwingi sana....mkeo utamtia kimoko cha kujivuta vuta tena kifo cha mende, ni ikisimama tu unamchanua miguu kama nini sijui, mechi za ugenini unapiga viuno cherehani pmb la hela yote.

Jamani watu wameondoka makwao kufata mb0.0o kama ni vitanda hata makwao vipo oooh!!!
Umeongea point...
 
Kuhusu kufika kileleni (climax), kutokana na machapisho mbalimbali niliyosoma Kuna wanawake hawajui na wala hawajawahi ku experience hiyo condition. Nyie mnaosema ni lazima wafike kileleni ndo mnawapotosha sasa.
 
Namba 3 Ni ya kutilia mkazo sana maana hapo ndipo pamebeba maana nzima ya utii kutoka kwa mke kwenda kwa mumewe, inaanza taratibu tu ikikomaa zaidi hapo ndipo utajua kuwa hakuna kiumbe chenye dharau km mwanamke
Wanaume tuonewe huruma, yaani siku nzima nihangaike kutafuta pesa bado tena usiku nianze kupambana kumfikisha mtu mlimani kweli...hebu wanawake kwenye hilo watuvumilie kidogo tusije shindwa fika mbinguni kwa kuchoka jamani
 
Wanandoa linapokuja swala la kufanyana unafiki mwingi sana....mkeo utamtia kimoko cha kujivuta vuta tena kifo cha mende, hata papuchi hamzilambi tena tangu vita vya kagera huko ni ikisimama tu unamchanua miguu kama nini sijui, mechi za ugenini unapiga viuno cherehani pmb la hela yote.

Jamani watu wameondoka makwao kufata mb0.0o kama ni vitanda hata makwao vipo oooh!!!
Tumekusikia maayo
 
Wanaume tuonewe huruma, yaani siku nzima nihangaike kutafuta pesa bado tena usiku nianze kupambana kumfikisha mtu mlimani kweli...hebu wanawake kwenye hilo watuvumilie kidogo tusije shindwa fika mbinguni kwa kuchoka jamani
Wewe acha visingizio tomber nanilihii hiyo sio ya mama yako usipoifakamia watomberji wapo shauri yako
 
Back
Top Bottom