Kila kukicha kinamama wana MMU kazi kutusimanga,sasa leo na mimi ngoja niwatolee uvivu.Kinamama mnatukera kwa haya yafuatayo:
1.Utegemezi: Unambeep mmeo/hawara/bf,nini mama?unamuuliza, 'naomba unitumie vocha',sawa nakurushia ya elfu kumi,muda mchache baadae unanibeep,nakupigia 'luku imeisha baba'sasa nambieni hiyo vocha elfu kumi huwa mnampigia nani? au ni kwa ajili ya kupigia umbea,'Eh mwenzangu jana si nikamwona Bishanga anaingia gest',inahusu?
2.Wivu: Mara upekenyue simu yangu,nikirudi nyumbani 'oh ulikuwa wapi' mara 'nani huyo ulimpakia kwenye gari',nikivua nguo mara unuse kufuli langu, jamani ya nini yote haya? mbona sisi hatuwafatilii hivyo?
3.Kununa: Mara unune,mara uvimbe,mara unisonye kwa mbali,nimekukosea nini? nikuuliza husemi kitu,mkoje jamani?
4. Gubu:Hata kama nilikukosea mwaka 1947 na nikakuomba radhi ukajitia umenisamehe ni bure tu,nikikukosea kidogo leo ,utasikia 'oh ndo mana nilikubamba na hausgel'sasa jamani tukio la 1970 unalibebea bango mpaka leo,we umenikosea mangapi mbona huwa sirudii kuyakumbushia?
5.Mnaongea mno: Wanawake mnaongea jamani, pich pich pich pich,du,hamchoki mkaacha na waume/hawara/bf zenu wakaongea?
6.Uvivu: Sasa kuajiri housegirl ndo iwe sababu ya huyo housegirl kufua hadi kufuli zangu,na kibaya zaidi baba akiumwa eti yeye ndo anamkumbusha dawa,chakula anampakulia yeye,halafu mzee akimfanzia mnakuja juu.
7.Ubinafsi: Nikilipa schoolfees za mdogo wako poa tu,paa la nyumba ya shangazi yako likiepuliwa na kimbunga nikatoa pesa ya mabati poa tu,mama yako akiumwa nikampeleka India poa tu,lakini shuhudia mtoto wa dada yangu akose karo nimlipie au nimnunulie ka gari baba yangu mstahafu,huo mziki wake utaukoma,'eh ndo mana hatuendelei sijui nini sijui nini' lol!
Ngoja nipumzike kwanza ntarudi baadae,nina hasira flan hivi.
Ukitaka kuwajua wa dizaini hizo, angalia mawazo yao yakoje katika shughuli za kila siku hapo ndo utapata kitu cha kuwapotezea!
ki-sugar ushauri gani huu inaonyesha huu ni uhusiano wa muda mrefu na labda wana watoto,badala ya kusuluhisha unataka ampotezee utamkaribisha kwako ?mmmh,mwenzangu sio wote tupo hivyo jamani.labda huyo wako,inabidi umueleweshe,kama haelewesheki,basi potezea hizo longolongo zake.
Pole sanaWe acha tu kuna kitu kimeni put off big time!
kama yeye mwenyewe alivyosema ana hasira.unajua kuna baadhi ya watu hata umueleweshe vipi haelewi ni kama tabia ya mtu.sasa utakasirika kwa kila jambo?inabidi mambo madogomadogo uyapuuze,otherwise utajitia presha bure.kwani juu ya maudhi,yapo mengine ambayo ni mazuri.life is too short jamaniki-sugar ushauri gani huu inaonyesha huu ni uhusiano wa muda mrefu badala ya kusuluhisha unataka ampotezee utamkaribisha kwako ?
Kila kukicha kinamama wana MMU kazi kutusimanga,sasa leo na mimi ngoja niwatolee uvivu.Kinamama mnatukera kwa haya yafuatayo:
1.Utegemezi: Unambeep mmeo/hawara/bf,nini mama?unamuuliza, 'naomba unitumie vocha',sawa nakurushia ya elfu kumi,muda mchache baadae unanibeep,nakupigia 'luku imeisha baba'sasa nambieni hiyo vocha elfu kumi huwa mnampigia nani? au ni kwa ajili ya kupigia umbea,'Eh mwenzangu jana si nikamwona Bishanga anaingia gest',inahusu?
2.Wivu: Mara upekenyue simu yangu,nikirudi nyumbani 'oh ulikuwa wapi' mara 'nani huyo ulimpakia kwenye gari',nikivua nguo mara unuse kufuli langu, jamani ya nini yote haya? mbona sisi hatuwafatilii hivyo?
3.Kununa: Mara unune,mara uvimbe,mara unisonye kwa mbali,nimekukosea nini? nikuuliza husemi kitu,mkoje jamani?
4. Gubu:Hata kama nilikukosea mwaka 1947 na nikakuomba radhi ukajitia umenisamehe ni bure tu,nikikukosea kidogo leo ,utasikia 'oh ndo mana nilikubamba na hausgel'sasa jamani tukio la 1970 unalibebea bango mpaka leo,we umenikosea mangapi mbona huwa sirudii kuyakumbushia?
5.Mnaongea mno: Wanawake mnaongea jamani, pich pich pich pich,du,hamchoki mkaacha na waume/hawara/bf zenu wakaongea?
6.Uvivu: Sasa kuajiri housegirl ndo iwe sababu ya huyo housegirl kufua hadi kufuli zangu,na kibaya zaidi baba akiumwa eti yeye ndo anamkumbusha dawa,chakula anampakulia yeye,halafu mzee akimfanzia mnakuja juu.
7.Ubinafsi: Nikilipa schoolfees za mdogo wako poa tu,paa la nyumba ya shangazi yako likiepuliwa na kimbunga nikatoa pesa ya mabati poa tu,mama yako akiumwa nikampeleka India poa tu,lakini shuhudia mtoto wa dada yangu akose karo nimlipie au nimnunulie ka gari baba yangu mstahafu,huo mziki wake utaukoma,'eh ndo mana hatuendelei sijui nini sijui nini' lol!
Ngoja nipumzike kwanza ntarudi baadae,nina hasira flan hivi.
Kila kukicha kinamama wana MMU kazi kutusimanga,sasa leo na mimi ngoja niwatolee uvivu.Kinamama mnatukera kwa haya yafuatayo:
1.Utegemezi: Unambeep mmeo/hawara/bf,nini mama?unamuuliza, 'naomba unitumie vocha',sawa nakurushia ya elfu kumi,muda mchache baadae unanibeep,nakupigia 'luku imeisha baba'sasa nambieni hiyo vocha elfu kumi huwa mnampigia nani? au ni kwa ajili ya kupigia umbea,'Eh mwenzangu jana si nikamwona Bishanga anaingia gest',inahusu?
2.Wivu: Mara upekenyue simu yangu,nikirudi nyumbani 'oh ulikuwa wapi' mara 'nani huyo ulimpakia kwenye gari',nikivua nguo mara unuse kufuli langu, jamani ya nini yote haya? mbona sisi hatuwafatilii hivyo?
3.Kununa: Mara unune,mara uvimbe,mara unisonye kwa mbali,nimekukosea nini? nikuuliza husemi kitu,mkoje jamani?
4. Gubu:Hata kama nilikukosea mwaka 1947 na nikakuomba radhi ukajitia umenisamehe ni bure tu,nikikukosea kidogo leo ,utasikia 'oh ndo mana nilikubamba na hausgel'sasa jamani tukio la 1970 unalibebea bango mpaka leo,we umenikosea mangapi mbona huwa sirudii kuyakumbushia?
5.Mnaongea mno: Wanawake mnaongea jamani, pich pich pich pich,du,hamchoki mkaacha na waume/hawara/bf zenu wakaongea?
6.Uvivu: Sasa kuajiri housegirl ndo iwe sababu ya huyo housegirl kufua hadi kufuli zangu,na kibaya zaidi baba akiumwa eti yeye ndo anamkumbusha dawa,chakula anampakulia yeye,halafu mzee akimfanzia mnakuja juu.
7.Ubinafsi: Nikilipa schoolfees za mdogo wako poa tu,paa la nyumba ya shangazi yako likiepuliwa na kimbunga nikatoa pesa ya mabati poa tu,mama yako akiumwa nikampeleka India poa tu,lakini shuhudia mtoto wa dada yangu akose karo nimlipie au nimnunulie ka gari baba yangu mstahafu,huo mziki wake utaukoma,'eh ndo mana hatuendelei sijui nini sijui nini' lol!
Ngoja nipumzike kwanza ntarudi baadae,nina hasira flan hivi.
Asante BintiMkongwe!Kwanzia leo ntakua nakumbushia bila wasi wasi kabisa!Mbona ukiandika scientific paper unafanya reference ya kazi za zamani, iweje leo mke wako akifanya reference ya matendo yako mabovu ya zamani uchukie?
Mtafiti mzuri ni yule anayeweka historia ya utafiti wake kwa kuangalia nini kilifanyika kabla.
Aithee Bishanga uliyoandika YOTE NI KWELI TUPU 100%!, sometime wanakera sana baadhi ya hawa wamama HASA HIYO NAMBA 7, YAANI HIYO SIO BAADHI ILA NI WAMAMA WOTE!
Hapo kwenye namba nne. Mtu anakwambia umenikosea unamuomba samahani anakwambia nimekusamehe lakini kauli na matendo yake hayaonyeshi kama kweli amekusamehe hili mimi hunikosesha raha sana. Neno "samehe" lina uzito mkubwa sana hivyo unapolitamka basi uonyeshe kweli kama umesemehe na siyo kulitamka tu kirahisi rahisi.