Kero: ITV na ubaguzi wa habari

Kero: ITV na ubaguzi wa habari

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Ndugu wananchi napenda kuwasilisha kero zangu, hivi kwann ITV wanabagua sana katika kutoa taarifa za watu fulani? Kwa mfano leo nimeshuhudia nikiwa napita kwenye gari mkabala na jengo la sofia house pale Kisutu mahakani nikaona umati na nilipo uliza nikaambiwa ni issue ya (jina kapuni) sasa nilipouliza nikaambiwa waliopo pale ni ITV na media nyingine lakini hakuonyesha kwenye habari, haraka zangu zote za taarifa ya habari lakini sikuona.
 
Wewe kila habari ingekua inaonywesha siku hiyohiyo habari ingechukua siku nzima
Utaiona kesho au kwenye jiji letu.
 
Ni issue ya nani ambayo itv hawajairusha hewani
 
kila media ina utaratibu was kuchagua na kurusha habari zake,je kama habari zote zulikua sensitive na muhimu zaidi ya uliyoitarajia na airtime inabana wafanyeje?stop blaming and been so judgmental
 
Mimi sasa habar zote napata humu humu maana itv haina habar za act wazalendo ndo maana si ifuatilii
 
Kama tukio umeona which habari do you want. Hachana na habari zilizo editiwa, wewe umeona live.
 
ivi ni kweli mengi ndiye anayeyumbisha serikali ya kaka mkuuu? zito kawasilisha kwa kaka mkuu hilo na kaka mkuu kaapa kumshughulikia.....napita tu jama
 
Mkuu Kwani Hiyo Habari Inahusu Chadema, wachaga Au wamasai?Kama Haigusi Huko Tuache Na ITV YETU!
 
kila sku wazee mnakuja na malalamiko ya itv kwan mmefungwa kamba?ss vijana sku nyingi tushatoka huko,angalia azam au star tv hutojuta,hiyo itv habari kubwa ni ya kuonesha sura ya mengi
 
Sio kila kitu kitaandikwa.. hata hivyo ITV wanajitahidi sana kulinganisha na vituo vingine..Lakini si ulipata bahati ya kupita kisutu,, kwa hiyo ulishindwa hata kuulizia japo upate kujua nini kinaendelea..

Unategemea Taarifa ya Habari.. ukikuta umeme umekatika??
 
Anzisha tu ya kwako mkuu,ambayo itaonyesha matukio yote ya nchi nzima tena utakua umetusaidia mno aisee
 
ivi ni kweli mengi ndiye anayeyumbisha serikali ya kaka mkuuu? zito kawasilisha kwa kaka mkuu hilo na kaka mkuu kaapa kumshughulikia.....napita tu jama
 
Back
Top Bottom