KERO Idara ya Maji nani anawepa maagizo kutoa huduma ya maji usiku wa manane?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Prince05

Member
Feb 27, 2024
8
14
IMG_7521.jpg
Kumekua na tabia ya idara za maji Tanzania, hasa MWANZA kutoa huduma ya maji saa nane au saa tisa za usiku.

Wananchi hawana maji siku 4 hadi siku 9, na siku mkiamua kuwapa maji basi ni usiku wa manane na presha ni ndogo sana wakati mwingine saa 11 au 12 alfajiri mnakata maji. Wengine wakiamka asubuhi wanakuta story tu maji yalitoka usiku.

Tunaomba kujua maagizo hayo mnayatoa wapi, wizarani?

Bill zinatoka kwa speed sana kuliko maji.

Mnatesa wananchi.
 
Back
Top Bottom