Usikurupuke Bro...!
Jipange kwa cheo alichonacho sasa wakimpa U Rpc n kama
wanamdharirisha.....tena kinondoni Hivi unajua wazifa ambao kapewa sasa
hivi...Acheni Majungu nyie Raia
mkuu we ndo umekurupuka kwa kawaida polisi wanaweza kumpandisha cheo mtu makusudi kwa malengo ya kumtoa kwenye nafasi yake na hii imeshawatokea makamanda waandamizi wengi tu.
Ni kwanini hapo Dar makamanda tunaowaona kwenye tv ni wawili?Kinondoni na Kanda maalum.Wengine wa Temeke na Ilala wapo wapi au huko kwao hakuna uhalifu sana?
Kenyela sio mtu wa ndio mzee! Nilijua tu watamtosa!
Akina Kenyela ni damu mpya ndani ya jeshi ambazo hazijui zama za chama kushika hatamu hivyo hawezi kuwapigia magoti!
Kwa taarfa za ndani ni kwamba KOVA Anastaafu soon ndan ya 2month hivyo Chaz kenyela anaenda kluchukua nafasi ya Kova ..si demotion ts a kind v promotion
Sawa lakini kila uhamisho unasababu. Ndio tunajiuliza, kama ni kwelikahamishwa kwenda HQ, je sababu ni ipi kwa maana kwa wakati huu, mkoa huu aliumudu!