Mkuu unaweza kutupatia source ya hii taarifa ili tuutafute ukweli? Manake hii pandisha vyeo ya Kova na Kamuhanda inasababisha tufukunyue kila mahali ili kujua kinachokwenda kutokea.
Btw kama failures ndio wanakwenda kurundikwa makao makuu, ufanisi wa jeshi la polisi ni dhahiri kuwa unakuwa mashakani.
Mtumishi wa serikali anaweza kuhamishiwa mahali po pote wakati wo wote. Siyo lazima awe ametenda kosa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Bora wamemwindoa maana kila siku alikuwa anadili na machangudoa huku majambazi yakitesa mtaani...Kagusa maslahi ya wakubwa, madanguro na madawa ya kulevya. To be honest Hamas Yuko vizuri but ndiio hivyo
Amefanya kosa gani?
Charles Kenyela ni member humu, si aje?
Kulikoni!au machangudoa wamemharibia?Rpc wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...wambura ndo anakuja kuwa rpc kinondoni ...kazi ipo..
Ndiyo apelekwe kwenye benchi makao makuu?Mtumishi wa serikali anaweza kuhamishiwa mahali po pote wakati wo wote. Siyo lazima awe ametenda kosa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nani atasimamia ile kamatakamata ya akina dada wanaojiuza sehemu mbalimbali Kinondoni!
mhhhhsource ni mke wangu anafanya kazi makao ya polisi na ndiye aliyechapisha bafua ya kuhamishwa kenyela
Mwita uliona walichomfanyia SIMON SIRRO, hata kumpa U DC P ni sababu ya rekodi yake njema na wakubwa wameona aibu ila fitna anazopigwa ni balaa sana. IGP na kundi maslahi lake wanapandisha vyeo wawatakao tu, kwangu DCP Sirro atabaki kuwa shujaa, askari msomi huyu mwenye nidhamu na kusoma nyakati katika kujenga jeshi la polisi la kisasa.
Amefanya kosa gani?
Ameshindwa kuua hata mtu moja!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kenyela ni hivi karibuni tu alipokea bachelor yake pale Kinondoni @ OUT.
Huenda jeshi halihitaji ustaarabu na usomi kwa watendaji wake ktk ngazi za RPC.
Kamanda Kenyela naye alishapewa ile polonium 210 isotope?kweli hakuna kuaminianaAmeshindwa kuwadhibiti/kuwauwa CDM!
Mara ya mwisho nakumbuka aliwekewa SUMU kwenye soda(?)/maji(?) ikabidi kwenda kui flush kutoka mwilini!