kama huku ni gari nyeupe je kwa uhuru kwa nini usiijue gari ilio muuwa mkuu wa tume kabla ya uchaguzi? na kwa nini gari ilio fyatua risasi makamo jaji mkuu usi ijue rangi yake,je hio ndo demokrasia,ukitaka kumsifia mtu kwa jema unafki acha pembeni mkuu,madudu yalio fanywa na tume mnayo iita tume huru kwanini haikukubali kujiunzulu,tatzo la ngozi hiz asili ya bara hizi zina ushabik mwingi wa usio zingatia ukweli-
Narudia tena, huyo Musando na jaji hawana hadhi ya kiasi cha kufuatwa na wadau wa gari nyeupe na kupewa vidonge 38 kwenye serikali ambayo ningeiongoza. Hao ni maskini watendaji tu na hawana lolote jipya, sasa Musando mtu wa ICT kwenye software ambayo hakutengeneza yeye, eti nihangaike naye kisa anayo password......
Huyo Musando ningemcheza abaki ameshangaa na password yake, yaani mfumo unadukuliwa bila ya yeye kujua, anaishia kuona matokeo tu na kushangaa shangaa.
Halafu kwa jaji, labda kwa nyie msiojiongezea kimawazo au kushirikisha ubongo ndio mnauziwa taarifa nyepesi kama hizi, eti assassins wamkose jaji waishie kumpiga dereva, kicheko cha mwaka, labda hao ni assassins wa kijijini wasiojua kujipanga, wafuate gari bila kujua kama jaji hayupo humo.
Siasa ni mchezo mchafu sana, na uchafu wenyewe unachezwa kwenye level tofauti sio hii ambayo mumeuziwa kiulaini hivi. Wakenya wanipe urais waone nitakavyoinyoosha nchi, mimi sio mvumilivu, tena ni mtu wa jazba sana, nitaishia kuzuia kila aina ya mikutano ya kisiasa na kuachia yangu tu au chama changu, na uteuzi utakua tu kwa wale wanaonisifia, na ukizingua naamrisha kamata kamata za polisi, na ikishindikana yaani kama polisi wakikosa nini cha kukushtaki nacho au kukubambikizia, basi hutawashinda watu wangu wasiojulikana.
Afrika na miafrika ni watu rahisi sana kuwaongoza, wababaishe tu kidogo mbona watakaa. Rais Uhuru hii demokrasia yake inawashangaza marais wenzake, wanamwona kama anawaharibia na kuwatia raia wa nchi zao kiburi. Kwanza rais wa Zambia keshatoa mikwara kwa majaji wasithubutu kuiga Kenya.